Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Babu kwani wao waweze wananini,na sisi tushindwe tunanini? uwezekano wa kuwafunga hawa Aston villa,Manure,Chelsea na Liverpool tunao. Kwani kwenye historia yetu hatujaweza kuwafunga? kama tulishawafunga kwa nini tushindwe sasa? Arsenal ni ile ile na kocha ni yule yule,babu tutawafunga tu usikate tamaa mapema.Naona wapanga ratiba waliamua kutumaliza wiki hizi mbili maana wametupangia vigongo vya mechi kitu ambacho si kawaida kabisa. Tukiweza kujipatia kati ya points nane na kuendelea basi tutaendelea kuwemo kwenye kinyang'anyiro cha EPL, vinginevyo tutakuwa tumeyaaga mashindano hayo.
Mkuu Mbu, huyu BJ kapotea kweli 😉 yaani ukimuona ujue ni bahati kubwa sana anaingia na kuweka ujumbe na akimaliza tu kishatoka...LOL! BJ hongera kwa ushindi mkubwa wa jana na kurudi kileleni lakini ujue tutaendelea kula sahani moja na wewe mpaka kieleweke.
Mzee AW alikuwa anawaza kama wewe (japo ka FA msimu huu...), ndo maana aliingiza kikosi cha kueleweka. The problem is: Arsenal is not good enough, with lots of mid-average players.
Another trophyless season!? - well, time will tell!
Poleni
Pole sana mkuu, sasa inakuwaje mnashindwa kuifunga Stoke huku mkiwa na Fabregas, Denilson, Walcott, Arshavin, Eduardo, RamseY, Campbell na Silvestre? Hawa wachezaji wakiwa kwenye timu zao za taifa watasema nini kuhusu mechi hii ya leo? kwi kwi kwi kwi? Trophyless as usual....karibu Chelsea "The Pride of London" kama utaama mwakani, anza kujifunza mashairi hapo chini ya Pride of London:...next two weeks fixtures ngumu ajabu, tuna Manure, Liverpool, Chelski na Aston Villa. Ingesaidia kama tungeshinda angalau FA cup mwaka huu. Priority za AW sijui wapi,... sidhani kama tuna matarajio makubwa CL...
...anyway, acha tukimbizane na Manure na Chelski japo mnhhhh...
Kwa mtindo huu, mwakani inabidi nipeane talaka na ARSENAL. Mimi nimezaliwa, kulelewa na kukulia nikishabikia wana 'Msimbazi' Simba "Taifa Kubwa", Pressure ya nini Ulaya? ...😀
I bet kina Chelski, na Manure watakuja kuninukuu hapa, ha ha ha...
Arsenal, together we stand!!!!
Babu kwani wao waweze wananini,na sisi tushindwe tunanini? uwezekano wa kuwafunga hawa Aston villa,Manure,Chelsea na Liverpool tunao. Kwani kwenye historia yetu hatujaweza kuwafunga? kama tulishawafunga kwa nini tushindwe sasa? Arsenal ni ile ile na kocha ni yule yule,babu tutawafunga tu usikate tamaa mapema.
Kaka mbona unanimezea maneno nilichokisema ni hiki hapa Kaka hapo umesema hapa leo tumetoka kapa inabidi vijana waelewe kuwa hakuna FA cup tena kilichobaki ni EPL na CLUmenena mkuu
Pole sana mkuu, sasa inakuwaje mnashindwa kuigunga Stoke huku mkiwa na Fabregas, Denilson, Walcott, Arshavin, Eduardo, RamseY, Campbell na Silvestre? Hawa wachezaji wakiwa kwenye timu zao za taifa watasema nini kuhusu mechi hii ya leo? kwi kwi kwi kwi? Trophyless as usual....karibu Chelsea "The Pride of London" ...
Hii ni sentensi nzito sana mkuu, nitakukumbusha mnamo mwezi wa May.Mkuu naona ulikuwa unanifuatilia vilivyo leo!!,sio mbaya tunaelekeza nguvu zetu kwenye EPL nautakuja yakumbuka maneno yangu kuwa huu mwaka ni wetu tunachukua EPL tropy.
Kaka mbona unanimezea maneno nilichokisema ni hiki hapa Kaka hapo umesema hapa leo tumetoka kapa inabidi vijana waelewe kuwa hakuna FA cup tena kilichobaki ni EPL na CL
Liverfool na Arse ni walewale, zote ugonjwa wa moyo....lol....ati?
Chelsea? No way bana, si bora hata nikaishabikie Liverpool na ndugu zangu kina MTM na QM!
Nishasema hapa, kama hakuna mabadiliko Arsenal, SIMBA bado ni taifa kubwa...
Kwani Bongo unashabikia timu gani? lazima utakuwa mshabiki wa Yanga wewe 😀
Hii ni sntensi nzito sana mkuu, nitakukumbusha mnamo mwezi wa May.
....mnnh, na wewe BJ unapoteaaaaa!...
haya, dkk ya 90 hiyoooo, hapa sina ujanja tushatolewa bana. dah,...halafu ukiangalia fixture ya EPL na CL naona kidogo kidooogo makombe yanaanza kututoka...
... na donge kitu hapa, stress tupu Arsenal saa nyingine...
Liverfool na Arse ni walewale, zote ugonjwa wa moyo....lol.
Haujakosea, mimi mtoto wa Jangwani kwa Bongo.
Mbona hata timu yenu ilikuwa imetimia, Fabregas, Arshavin, Denilson, Campbell, Ramsey, Silvestre, Walcott na Eduardo....ulitaka nani tena? Si ndio spine ya timu yenu hii ukiondoa Gallas na VermaElena!...ha ha haaa, wewe huna jumapili bana? hebu tupe muda kidogo tuugulie. Dah, hiki kichapo kinauma acha tu mazee. Nilikuwa na matarajio makubwa tu leo.
No wonder 'Acheni-lote' sijui 'Anchi-loti' (yule meneja wenu Chelski) anapanga full kikosi hata mkicheza na timu za 'mchangani'.
Mkuu Mbu, huyu BJ kapotea kweli 😉 yaani ukimuona ujue ni bahati kubwa sana anaingia na kuweka ujumbe na akimaliza tu kishatoka...LOL! BJ hongera kwa ushindi mkubwa wa jana na kurudi kileleni lakini ujue tutaendelea kula sahani moja na wewe mpaka kieleweke.
Mbu!..jamani sometimes nawaonea huruma ila ndo mpira leo furaha kesho huzuni..
Hata kombe moja msimu huu mpate la sivyo hii timu ni full stress itakuwa kama usemavyo..
Ila naona washabiki wake mpo strong, Never Give Up!
Mbona hata timu yenu ilikuwa imetimia, Fabregas, Arshavin, Denilson, Campbell, Ramsey, Silvestre, Walcott na Eduardo....ulitaka nani tena? Si ndio spine ya timu yenu hii ukiondoa Gallas na VermaElena!
Hahaha, tulikuwa jeuri tangu kipindi cha Gullit, wakati huo tukicheza sexy football....Jose kaja kujazia vikombe. Anyway, pole sana chief, mkikuwa mtakuwa wazuri timu bado "changa"😉....dah,...
Maurinho kawafundisha ujeuri kweli Chelsea, hamkuwa hivyo enzi za RANIERI!. haya bana, nyie chekeleeni tu leo...
Ngoja nikapoze hiki kipigo kitakatifu.
Vipi African Cup of Nations? Ivory Coast na Algeria lini?
Haya chief pole kwa mara nyingine!e bana eee, basi bana duuh!
mpaka tuangue kilio hapa ndio ujue pamefiwa?
marehemu keshakufa, wewe unaendelea kuulizia tu kafaje, aah!
Na yule mtuma picha wenu vipi, mbona haonekani kutuletea picha za leo, isije kuwa yale ya kina Suleiman Omondi (RIP)!Naam naaam,
together we stand!, ...tumempoteza mmoja tu "Suleiman Omondi-RIP" wa kule Kenya ambaye ni 'Recession' sijui 'Credit Crunch' ilichangia akaona bora tu ajitundike kitanzi!
Hakuna kulala, mwaka huu lazima tuchomoke na kikombe kimoja ninakuhakikishia hili.e bana eee, basi bana duuh!
mpaka tuangue kilio hapa ndio ujue pamefiwa?
marehemu keshakufa, wewe unaendelea kuulizia tu kafaje, aah!