Kwani mpira ni dakika 45 au 90!? Ni kazi ngumu hasa ukiwa ugenini lakini hakuna linaloshindikana, makosa machache jamaa hawakufanya hiyana na hivyo kutake advantage ya makosa hayo. Kama kipindi cha pili watacheza kwa determination angalau ya kutoa draw basi hilo linawezekana kabisa, ila yakiwepo makosa mengine basi sitashangaa tukichapwa hata 4-0 na kunitilia doa siku yangu ambayo ilianza vizuri sana.