Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Naomba unikumbushe mkuu! thats is unsporting behavior n two wrongs do not make it perfect!
 
hii ratiba kama tukimaliza bado tuko juu ya table naenda kununua champagne kabisa naiweka tayari wala sina haja ya kusuburi manake nikiiona itakuwa inakumbusha kwamba kombe linanukia ha ha ha.
 

GettyImages
Klaas-Jan Huntelaar has said he is keen to secure a loan switch
Klaas-Jan Huntelaar's agent has told ESPNsoccernet that the AC Milan striker is attracting interest from the Premier League and that a deal is possible in what remains of the transfer window. Arsenal, Liverpool and Tottenham have all been linked

i hope anakuja Arsenal,AW mwanzo alileta siasa nyingi kuhusu kumchukua onloan labda karudi kwake tena na sijui tatizo liko wapi proffesor, au huna shida ya kombe mkuu? just swallow ur pride for the fans n bring him on loan just to make sure we are strong enough to win the tittle.
 
Arsenal confirm season over for Kieran Gibbs

By Soccernet staff




January 21, 2010



Arsenal defender Kieran Gibbs will not play again this season after the club decided to send the left-back for surgery on a fractured metatarsal.

GettyImages
Kieran Gibbs has been dealt a real blow





asante sana kwa mchango wako,tunakutakia kila kheri na upone haraka.
 
Naomba unikumbushe mkuu! thats is unsporting behavior n two wrongs do not make it perfect!
Duh! Haya maneno yanayosemwa kwenye hii thread yanatisha, naona Le Arse wameshachukua kombe tayari...tarehe 20/01/10.
 
Duh! Haya maneno yanayosemwa kwenye hii thread yanatisha, naona Le Arse wameshachukua kombe tayari...tarehe 20/01/10.
masanilo aliwapachelsea kombe toka septmber mkuu ,usiwe na wasi wasi ni kawaida ya washabiki wa michezo leo kwako kesho kwa mwenzio.tuache tu-enjoy mkuu kama wewe ulivyokuwa una enjoy ushindi raha asikudanganye mtu.
 
masanilo aliwapachelsea kombe toka septmber mkuu ,usiwe na wasi wasi ni kawaida ya washabiki wa michezo leo kwako kesho kwa mwenzio.tuache tu-enjoy mkuu kama wewe ulivyokuwa una enjoy ushindi raha asikudanganye mtu.

Hizi tunaita ni pombe! Mbona hujibu swahi langu la msingi horror tackle of Gallas on Bolton Mark Davies which was important build up on Arsenal equaliser????......unaweza onyesha sehemu nikikabidhi kombe Zebluez September?
 
Duh! Haya maneno yanayosemwa kwenye hii thread yanatisha, naona Le Arse wameshachukua kombe tayari...tarehe 20/01/10.

I think People forget easily that We, Chelsea are joint at the top with Arsenal, with a game in hand, I am keen with the next two Arsenal fixtures with Man Utd and Aston Villa, I remain confident tutawabamiza kama kawaida yetu wakija Stamford Bridge
 
Hizi tunaita ni pombe! Mbona hujibu swahi langu la msingi horror tackle of Gallas on Bolton Kelvin Davies which was important build up on Arsenal equaliser????......unaweza onyesha sehemu nikikabidhi kombe Zebluez September?
issue ya gallas kuna refa ina depend kaonaje na yeye kashasema alichokiona.kuhusu fair play,mpira unaenda kwa kasi sana kwahio its not easy baada ya tackle hile next player angepiga mpira nje hapo hapo. play inaendelea mpaka hapo move yote itakapo tulia na refa ana haki ya kupiga filimbi kama aliona kuna kosa limefanyika.hii imekuwa issue kwa vile the end of it was a goal kama isingekuwa goli msingepiga kelele.mbona everton walitaka kutufunga juzi baada denilson kudondoka na hatukuwasikia kuhusu fair play?


refa ana haki ya kutoa hukumu baada mpira kama kitu hakukiona vizuri na mbona kakataa kutoa punishment yoyote? mkuu matukio ya kawaida hayo kwenye mpira na huwa yanaenda kwenye timu yoyote pole sana this time it went on our favour.


ha ha ha issue ya kukabizi kombe ze bluez septmber ni kwa kauli zako ulizokuwa unazotoa kwani peasant kaona sehemu yoyote sisi tumeandika tumechukuwa kombe january 20?


wakuu wa gunners tuendeleeni na furaha ushindi kila timu inashangilia ushindi tukishangilia sisi inakuwa tabu ha ha ha.
 
Mr Bean! AW

Duuu haya bana ....umeeleza vizuri kwa Gallas .....Imekumbusha Roy Keane alipomtackle na kumvunja mguu Alfie Haaland wa Man City na kumaliza career yake. Anyway Kubwa Mark Davies hakuvunjika. Wengine sisi ni wanasport na si washabiki tu...nadhani umenisoma. We enjoy more watching fair games with techniques, Arsenal passing was brilliant Yesterday. Ukiacha kuumizwa kwa Kelvin Davies.

Endelea kufurahi bila kuweka maneno kwenye vinywa vya watu. Nikikuambia tafuta hiyo kauli ninauhakika hutaipata

Arsenal oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Teh teh teh teh


 


Sasa Chelsick na mafioso wote wajinyonge wengine wanasema ati wao ni co-leaders, naona wawaambie FA wawaweke Chelsick kileleni. To date timu inayoongoza kwa kufunga magoli inajulikana sasa kina kikojozi aka Masanilo na peasants badala ya kuwa Invisible wanajianika hadharani.

Kwa taarifa tu SKY walichukua mechi ya jana na tayari wako kwenye mpango kabambe wa kuanza kutumia 3D technology kuanzia baadaye mwaka huu. Waulizeni Sky kwa nini hawakwenda darajani? khe khe khe khe
 
....daah,

yaani kwakuwa ile 50-50 tackle, Davis ndiye aliyeumia na sio Gallas basi imekuwa 'gumzo' mpaka tunaletewa mifano ya mwaka 47 ya kina Roy Keane na 'Elfu' nani sijui...duuh?! 😱

Hata Eduardo alivunjwa mguu, au kwakuwa yeye ni wa Arsenal?
Nyie Chelski bana vitimbwi sana nyie wallahi... Tumelingana pointi tu, By mwisho wa wiki mtaongoza tena, mnasikia sana?

Masa, poa moto bana, kutesa kwa zamu, ikifika wikiendi huenda nasi tutakuwa hatunywi maji hapa... 😀😀😀
 

Si unajua Birmingham walivyo wabishi, Chelsick wana wasi wasi maana walitoka yai kwa yai kule kwao. Birmingham hawajafungwa tangu tarehe 17 October mwaka jana kwenye mashindano yote na wamecheza na Manure na Chelsick katika kipindi hicho. (Walifungwa na Arsenal Emirates 3-1)
 
Tatizo la Arsene Wenger akisha fika kileleni anabweteka hawakiwii kushushwa mpaka nafasi ya 5.
Mkuu wewe tena duh! Nafasi ya 5? Hata kama senior team wote waumie basi timu yetu ile ya Yosso bado inao uwezo wa kumaliza ligi juu ya Liverpool, Spurs na Villa.
 
Mkuu wewe tena duh! Nafasi ya 5? Hata kama senior team wote waumie basi timu yetu ile ya Yosso bado inao uwezo wa kumaliza ligi juu ya Liverpool, Spurs na Villa.
Can you saya this again man. Arsenal haiwezi kumaliza nafasi ya 5 hata siku moja tena klwa trend ya sasa ni vigumu zaidi. Wachezaji wamekomaa wanajua wanataka nini na ndio watakachopata msimu huu "Ubingwa"
 
Hizi tunaita ni pombe! Mbona hujibu swahi langu la msingi horror tackle of Gallas on Bolton Kelvin Davies which was important build up on Arsenal equaliser????......unaweza onyesha sehemu nikikabidhi kombe Zebluez September?
Masa let it go mkuu, ni sawa kwamba Gallas alikuwa late na ameenda juu ya mpira lakini siwezi kuita horror tackle, tumeziona tackle mbaya zaidi na wachezaji kukatika miguu , kuvunjika ankle etc, Davies ameshafanyiwa scan na damage sio kubwa kama ilivyokisiwa. Yes it was a foul, it was late but the Referee and the FA has made the decision not to punish Billy, he went for 50-50 ball with no intent to injure Davies. Na naamini hata Davies angeendelea kuwemo uwanjani bado tungewafunga, Pressure ya mashambulizi ilishawazidi, vile vile nao Bolton bahati yao kumaliza na watu 11, baadhi ya wachezaji wao kama Muamba Refa alimpenda alifanya faulu kadhaa dhidi ya Fabregas na alipewa kadi ya njano tu.
 
Arsenal bado inaongoza ligi wadau wa chama. Am very happy for this kwakweli bra
 
Arsenal bado inaongoza ligi wadau wa chama. Am very happy for this kwakweli bra

Next 7 fixtures jamani,

fingers crossed tusipate ,majeruhi zaidi ya hawa tisa tuliokuwa nao. Thanks God tumempata Campbell pale incase Varmaellen au Gallas wakiumia,... wasiwasi wangu pale kwenye Defensive midfield, -Diaby ndio huyo majeruhi, Song yupo Africa...

Striker kwa sasa Alhamdulillah hatumhitaji ki viiile... magoli yananyesha kama mvua za masika vile, ukiziba huku zinanyesha kule...

January

24 Sun
The FA Cup A Stoke City 13:30 ITV1

27 Wed
Barclays Premier League A Aston Villa 19:45 ATVO

31 Sun
Barclays Premier League H Manchester United 16:00 SS1


February


FA

07 Sun
Barclays Premier League A Chelsea 16:00 SS1

10 Wed
Barclays Premier League H Liverpool 19:45 SS1

13 Sat
The FA Cup N Round 5 ATVO

17 Wed
UEFA Champions League A FC Porto
 
thanks kwa fixture bra
 
Next 7 fixtures jamani,

fingers crossed tusipate ,majeruhi zaidi ya hawa tisa tuliokuwa nao. Thanks God tumempata Campbell pale incase Varmaellen au Gallas wakiumia,... wasiwasi wangu pale kwenye Defensive midfield, -Diaby ndio huyo majeruhi
hapo kwenye defensive midfield ndio napaogopa sana mkuu.kipindi hiki kigumu kinakuja ndio maana nilikuwa naomba cameroon watolewa mapema tu lol.wenger achelewi kumueka campbell beki na kumpeleka varmelen midfield pale kama tukizidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…