Usiwe na shaka, we njoo tu uangalie kitale ..... ..... Ozil yupo atacheza kama dakika 20 hivi tunamuweka kiporo maana J5 Rambo hachezi kwenye CL ..... ..... vuta kiti tu.
Baada ya kuwaangalia Chelsea wakiongeza kapuni mwao magoli mawili na points tatu niko hapa nakodolea macho TV tayari kwa mchapo wetu na Everton. Ni mechi ngumu hii maana Everton ni wazuri na wana speed, I hope siku yangu leo haitaharibiwa. Ushindi mbele kwa mbele wa at least goli 2-0.