Mimi pia ni arsenal ila lazima niseme, kwa mechi ka ya jana, tulizidiwa. Lazima tujue kucheza na mechi za away vizuri. Le professeur naona kama hana tactics za mchezo. Yaani yeye anawaambia tu wachezaji nendeni mkacheze mpira bila kujali tunacheza na nani. Sidhani kama mwaka huu utakuwa wa mavuno kwa mbinu zake. Mbinu zake ni mbovu sana. Simkubali.
We will be around ready with that infamous laugh: "khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee"
....uje na maji ya kunywa incase ukipaliwa,
maana kicheko kina wenyewe hicho! :A S wink::A S wink::A S wink:
qwi qwi qwi qwi bora muwe na majukumu machache maana mkitolewa UCL mtakuwa na mechi chache itawasaidia kuwa # 2, kama walivyokuwa LFC.
Za asubuhi Mbu wa 'ebola'..qwi qwi qwi qwi :wacko::wacko::wacko::wacko:
......si useme tu unawapiga dongo wazee wa 7Up,... Nzi keshaanza adimika humu, Belo nae ndio anaishia ishia!....
Mwaka huu wakinoa top four utabiri wa #PaulScholes utakuwa umetimia!....
#MosKwito !
......si useme tu unawapiga dongo wazee wa 7Up,... Nzi keshaanza adimika humu, Belo nae ndio anaishia ishia!....
Mwaka huu wakinoa top four utabiri wa #PaulScholes utakuwa umetimia!....
#MosKwito !
......#VassirikiAbouDiaby anatosha!
Arsene Wenger knows better.
Tudiscuss timu yetu tuache wale wapigane juu ya usajili wao unavyokwenda, wakiendelea kutokuwa na imani miongini mwao ni bora kwa EPL. Vipi leo mnaonaje ushindi utapatikana au vipi? Binafsi naona tukiondoka na draw haitakuwa mbaya sababu sina matumaini ya ushindi. Timu yetu ina mapungufu Fulani niliyoyaona katika mechi mbili tulizokwishacheza. Come on Gooners!!!!!!
Cc. Mbu, Balantanda, #TeamArsenal
Mechi saa ngapi.?
Mechi saa ngapi.?