Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron Ramsey nae anaonyeshwa kadi ya njano kwa muvuta jezi kiungo wa Besiktas Motta.

Nae Mathieu Flamini anaoyeshwa kad ya njano kwa kukwatua Levi Kavlak.
 
Arsenal sasa inabidi wawe waangalifu na hizi kadi za njano hasa Mathieu Flamini maana huyu mwamuzi Milorad Mazic ni maarufu kwa msemo wake wa "you can't please everyone".

Anaweza akarusha kadi ya pili ya njano bila kusita.

COYG!!
 
Refa kaanza kukosea.... Hata hivyo Arsenal tupo slow mbele na defending yetu inachechemea.
 
65'

BES 0 - 0 ARS

****
Arsenal Red Card is loading



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi Olivier Giroud ana matatizo gani? Wenger mtoe nje, we mzee vipi!
 
Kuanzia leo sishabikii Arsenal nashabikia Gunners. Come on Gunners!!!!
 
Back
Top Bottom