Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunawachapa tu hawa ...... ....... . ....... .... 2 mtungi .... ....
Hata kiwanja hawana, hawachekani na Chelsick kwenye cowshed.
 
Demba Ba is trying to make a meal out of it, kwanini ajidondoshe kwa kukosea mwenyewe kumiliki mpira?
 
Calum Chambers anacheza superbly kabisa kummiliki poor Demba Ba, so far.
 
Alexis Sanchez anajaribu sana kuwatafutia nafasi Olivier Giroud na Cazorla lakini wanakuwa wanachelewa kufika eneo la tukio golini mwa Besiktas.
 
Besiktas wametawala sehemu kubwa ya kipindi cha kwanza. Arsenal tunahitaji kuondoka na atleast away goal, kama sio ushindi. Come on Arsenal!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom