Arsenal (The Gunners) | Special Thread







Rambo kama kawa ... .... ...




Koscielny baada ya kuweka chuma wavuni .... ... .








the technic was perfect .... ...




New boy at the Emirates Alexis .... .




Mathieu Debuchy a hope over from New castle ... ..




Rambooooooooooooooooo




Debuchy .... .... .. money well spend ..... ...

COYG
 
Hahahahaha lol!!! Pole zako, labda next week utarudi kimo chako cha kawaida 🙂🙂 siye tumetokea tundu la sindano lakini furaha tele maana kama ujuavyo kupata point tatu si sawa na kupata point moja au kutoka nunge kama shetani wekundu lol!!! #TeamArsenal ikikamilika na Walcott anarudi in few weeks kama ataweza kurudia uchezaji wake ulivyokuwa kabla ya kuumia basi ngome nyingi zitakuwa katika heka heka kubwa ili kuzuia nyavu zao zisitikiswe na safu ya washambuliaji wa Gunners.

Haya bana...nimekuwa mdogo leo...
 

sisi ndo mabingwa mtake msitake #trueblue #LONDONpride

Ngojeeni leo usiku tuwaoneshe. Mourinho keshasema hachagui kikosi cha kushinda, la hasha, kwa maana hata kabla ya mechi tushashinda! Kinachompa shida ni kuchagua kikosi kitakachofunga magoli mengi...leo usiku tunakaa kileleni!!!
 
ujumbe murua kabisa; kikosi kitakachofunga magoli mengi. leo ni leo.:A S-eek:


 
Naskia ramboo baada ya kufunga tu jastin timberlake hatunae huyu jamaa noumer ipo siku atafunga alf tutasikia jk hatunae
 


Vijana wametimka baada ya mazoezi leo pale Colney
tayari kukwaana na Besiktas hapo kesho ..... ...
 

ujumbe murua kabisa; kikosi kitakachofunga magoli mengi. leo ni leo.:A S-eek:

Mshaanza kelele zenu,
Arghhh!!!


#MosKwito !
 
Kabla hatujaongelea baadae me naomba kwa sasa ukanitafutie
Mndengereko, mfarisayo , PRONDO na wakongwe wa kupotea kama Tcleverly.

ndugu yangu...mbona hujifunzi?? ni misimu 9 sasa huwa unaanza hivi hivi baadae unaanza kuhangaika kupata nafasi ya nne!!! sioni jipya hapa,mwaka jana ulikakaa hadi mwezi wa pili hivi baadae unajua kilichotokea,mimi nipo tutaonana tu nabaki nawasoma tu kwa sasa ila nitakukumbusha.
 
Mkuu Mbu "dengue" aliposema maneno hayo alikuwa bado mtoto si unajua wakuu nyie huwa mnakuza vipaji alaf mnauza?
-Alex Song
-Nasri
-Gael Clich
-Bacri Sagna
-Flamini
-Kleb
-Edu
-Van Persie[to the Devils]
-Varmallen[to Barca]
-Fabianski[to Swansea]

-Fabregas..[tena nasikia huyu jamaa alikuwa radhi kurudi kwenu; ila LE PROFESERI akamfungia vioo?:A S-eek:]

tena nasikia Joe Campbell mnataka mumpeleke Newcastle kwa mkop??
qwi qwi qwi.



 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…