Naona msimu unaanza Leo..Muda mfupi ujao kipute kitaanza...Pazia la EPL 2014/2015 kufunguliwa rasmi....
Kila la heri Gunners wenzangu wa ukweli...
COYG...
Once a Gunner...Always a Gunner...
Together We Stand....
Bala.
Msimu huu tukiwafunga man utd tu ubingwa wetu.Hii mishetani imetutia gundu kwa kipindi kirefu sana.Na siku tukiyapiga bao nitawakojolea mashabiki maandazi wao wote.Nyambaf
Naona thread ina wenyeji wengi kweli sasa...
.....yeah man! It's a marathon mpk May panapouzima. Safari hii si ndetichia na Ab-Titchaz wa ManCity, au Mentor na Ntuzu wa Chelski wanathubutu kuleta jeuri yao hapa ya kujitangazia ubingwa kabla ligi haijaanza...
......#Liverpool tu kina Pazi na wengineo ndio naona midomo juu juu as if #Ubingwa mwaka jana waliukosa kibahati bahati. Tutawaona msimu huu wakishiriki pia Champs League.
Kina Nzi na Belo, wazee wa 7Up weshajizoelea sasa, kimyaaaaaa!!!!
All the best #Gunners wote, !!!
#MosKwito !
Kwa leo naomba nishabikie CARDIF kw mkopo.
Grand PA
Mkuu weka kwenye diary kabisa.Arsenal wakiwafunga man utd ubingwa wao msimu huu......mnh?! Weye? Kwani michezo yote ya ligi ni Vs Man U tu, au hiyo ndio team inayokupa presha sanaaa?!
....anyway, nimepigia mstari utabiri wako....huenda mwenzetu una darubini kali!
#MosKwito !
Mkuu weka kwenye diary kabisa.Arsenal wakiwafunga man utd ubingwa wao msimu huu.
Arsenal 5 crystal 0