Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron Ramsey struck again. Robin Williams the movie star found dead.
 
Reactions: Nzi

Hivi unajua kwa nini hapa JF Jukwaa la Arsenal ndio liko active kuliko yote? Naomba jibu
 

Wanaobaki hapa jukwaani wanajulikana Balantanda, Mbu, Wacha1, rubaman, piere.Fm wengine wote huwa mnahamia MMU Mbu fanya uhakiki wa wanachama wako mapema baadae wasije kukuacha peke yako hapa
 
LoL!!! Mie huwepo sana tu labda huwa hutaki kuniona 🙂🙂 Muulize Brother Mbu, na ndio sababu pia katika uzi huu wa #TeamArsenal michango yangu ni ya kutosha tu.

Wanaobaki hapa jukwaani wanajulikana Balantanda, Mbu, Wacha1, rubaman, piere.Fm wengine wote huwa mnahamia MMU Mbu fanya uhakiki wa wanachama wako mapema baadae wasije kukuacha peke yako hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Belo na wengine hakuna shaka mimi nipo na ntakuwepo hapa Jumamosi mtanane utapoanza na Arsenal tunacheza na Crystal Palace, tena nyumbani Emirates.

Timu kwa hakika imekamilika isipokuwa sehemu ya kati kidogo panahitaji kijana mwenye nguvu ili kulinda ile "back four".

Kuna dalili kwamba Arsenal itajaribu kumsajili Cheick Tiote wa Newcastle United au tutaendelea kuwaangalia William Carvalho wa Luiz Gustavo wa Wolfsburg ya Germany na Benedikti Howedes wa Schalke ya Germany.

Kuna wachezaji wengine ambao nao wanaangaliwa kama beki wa kati Daniel Agger wa Liverpool, kiungo Adrien Rabiot wa PSG, na kiungo wa Shakhtar Donetsk Douglas Costa.

Mpaka sasa tumetumia kiasi cha paundi milioni 60 na hivi karibuni tumemruhusu TV kwenda Barca hivyo tumeingiza paundi milioni 15 zingine, hivyo tunaweza kuitumia.

Kwa wale wakuu mnaoweza kuhudhuria mechi ya jumamosi, bei ya tiketi ya chini kabisa ni paundi 27 a ya bei ya juu ni paundi 129.50

kwa kutegemea na daraja la mechezo wenyewe kuna madaraja matatu yaani (A, B, au C).

Daraja rahisi kabisa ni la C, na vti vya bei rahisi ni vile vilivyo nyuma ya goli au karibu na kibendera cha kona pale mwisho wa ngazi.

Tukutane hapa jumamosi, na tusisahau ku-charge simu zetu.

COYG!!
 
No Tiote . Wenger ameshakatishwa tamaa na Waafrika.Nadhani mreno Carvalho ndo atanunuliwa pamoja na CB mmoja. Arsenal naona tupo serious kuchallenge Epl title.
 
....hahhahha, bro BAK kwani haelewi!?
basi tu Belo anapoamua kukaba, hukaba hata penalty!

Mwanachama mpya wa washika bunduki humu ndani ila huko nje kitaaaambo nipokeeni
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Mwanachama mpya wa washika bunduki humu ndani ila huko nje kitaaaambo nipokeeni

Karibu sana,
Jitahidi match days uwepo Uzoweane na mahasimu wetu wakuu humu, mdudu Nzi na Belo, pia wamo Mentor na Ntuzu toka darajani....

Ukishazoeana na hao, hutapata shida kuzoeleka na #TheGunners wenzako wengi tu humu!


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Error ……….
Access denied
What happened?
The owner of this website (www.jamiiforums.com) has banned your IP address (5…………………….).

Nimeambiwa vidonge ninavyotoa vikali sana, hivyo wananibania kuingia humu ..... ..... ... Watazoea tu khe khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
Error ……….


Nimeambiwa vidonge ninavyotoa vikali sana, hivyo wananibania kuingia humu ..... ..... ... Watazoea tu khe khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Hapa nimebaki kujiuliza maswali
pilikichi,,zile ajali za cavani
mruguay
Na mipasi ile ya ozil miksa
sanchez kuwatoa mafulbek moshi
wa sigara
Si atafunga kamba laki yule
mruguay,,haya wenger lete ajali
hizo# kataa tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…