Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Haya niliyasema Mei 18 mwaka huu... Sasa tumekamilisha msimu uliopita...kwa kutwaa makombe mawili ...Tunaanza upya sasa msimu.

Ahsante sana wachezaji wa Arsenal kwa kunipa furaha...!
 
Nitakujibu nini mwenye akili ya hovyo mkuu wewe mwenye akili nzuri

My bad Chifu...

Sijasema una akili ya hovyo...But nimesema wajuvi wa mambo wasije wakakuona wewe ndio una akili ya hovyo...Kwa sababu Wenger wa safari hii si Wenger wa miaka ilee...Msimu huu Wenger kapewa £100,000,000.00 kwa ajili ya usajili na yet kuna £15,000,000.00 nyingine zimeingia jana baada ya TV5 kuuzwa Barca...

Na inaeleweka bado Arsenal inawawinda Matt Hummels, William Clavalho, Sami Khedira na Douglas Costa...So inashangaza unapoongea kwa kejeli kumsema AW tena kwa kumuita kibabu kwa kuangalia tu nini alikuwa anafanya huko nyuma...

Wenger bado ana hela ya kununua wahezaji na bado anasaka/anawinda...Kwa kawaida kama hanunui/hahitaji tena mchezaji Wenger huwa anasema kwa uwazi tu...This time hajasema chochote...

Sorry kama nimekukwaza Chifu..
 
..... Wacha1 picha please!


#MosKwito !







That's the way to kick the season off!
Santi Cazorla leaps in the air after scoring in the Community Shield






Eyes on the prize: Welshman Aaron Ramsey
smashed in the second goal just before half-time






All smiles: Calum Chambers goes over to congratulate
the playmaker after he found the net






Crisp finish: Cazorla drove into the bottom right-hand corner
with his left foot to open the scoring




Skipping in: Goalkeeper Willy Caballero could do nothing
about the effort as it bobbled beyond him











Linking up so soon: Cazorla gets a hug from Sanchez
after opening the scoring in the capital

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…