Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli lakini sometimes huu mpira wetu wa show unatucost ujue

Binafsi ndio unanifanya niipende Arsenal.Hata ikifungwa as long as inacheza beautiful football mimi roho Safi kabisa

Ushindi unatakiwa uwe matokeo ya beautiful football mkuu
 
Ni just Community Shield tunajua, tupo tunapasha misuli moto kwa ajili ya ligi na UCL play off. Msikasirike sana kina nanilii
 
Binafsi ndio unanifanya niipende Arsenal.Hata ikifungwa as long as inacheza beautiful football mimi roho Safi kabisa

Ushindi unatakiwa uwe matokeo ya beautiful football mkuu

Ni kweli kabisa,mimi binasfi naipenda arsenal sababu hiyo lakini fikiria uhaba wa vikombe klabuni kwetu....huo mpira wa show unatusaidia nini?Tunajisifu na mpira wetu wa kitabuni wenzetu wananyanyua makwapa every season na mipira yao ya hovyo,kweli????
 
Nataka kumwona mtoto Campbell akicheza.. Wenger mpe dogo dakika 10 anyoshe misuli
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom