Tunatishaaaa!!!! Nawaona akina Nzi na mwenzie Belo wanachungulia kwa mbali ili waje kutoa kejeli kama tutafungwa, nina wasiwasi kama watapita huku leo khe khe khe khe khe
Page #ArsenalHatersBelo, Nzi, Mndengereko, DonDonald,Bulldog,Prondo najua ni just Community Shield lakini linatambulika kuliko Guiness ICC.
Come on Ramsey, Sanogo, Cazorla, Sanchez
Tunatishaaaa!!!! Nawaona akina Nzi na mwenzie Belo wanachungulia kwa mbali ili waje kutoa kejeli kama tutafungwa, nina wasiwasi kama watapita huku leo khe khe khe khe khe
Mie nakwambia wachaaa Mkuu Balantanda muziki wetu mwaka huu ni moto wa kuotea mbali, tuombe tu tucheze mbali na majeruhi ya kutisha tukiepuka majeruhi basi tutatesa sana kwenye EPL na hata UEFA pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.