El.pisterio
Member
- Jun 23, 2014
- 21
- 10
Wadau tumemsajili rasmi Calum Chambers dogo anaweza kucheza right back, central defence na defensive midfielder. Plan za Wenger ni kumfanya kama Emmanuel Petit aliyekuwa namba mbili mkali akageuka kuwa kiungo wa ulinzi hataree.
Hivi huyu dogo ana nini cha ajabu sana mpk wenger akunjua £17m, it's too surprising that he has left khedira who is thougt to cost around £15m...
On this i'll be too safe to oppose AW, that brat ain't as far weightly as khedira, he's only 19, he has been at EPL for only a year with only 18 starts, he's never involved at UCL, he's never got Hodson's attention...
Wenger hapa umeharibu. A massive waste.
WENGER OUT NOW! itakuwaje tufungwe na Yankees ?
Wenger out Moyes In
Ebana mwaka huu tumesajili mapema na tumesajili wachezaji wengi kuliko miaka ya nyuma. Arsenal na Liverpool tunashindana kwa kusajili wachezaji, na bado inaelekea kuna uwezekano wa timu zote mbili kusajili wachezaji wengine kabla kipindi cha kusajili hakijafungwa. Chelsea na Man utd ndo wamegeuka kuwa Arsenal wa zamani kiusajili. Arsenal inaelekea tutatesa sana mwaka huu. #WakaangaSumu kina Nzi, Subirini tutawapa dozi za Kansa(chemotherapy) wakati mnaugua mafua.
Muda si mrefu mtamkumbuka na kumlilia Moyes arudi Old Trafford.
Arsene Chenga ameshawaja*****a...hayo maneno nayatunza, halafu tuje tuone utakavyoanza kumlalamikia...na kuponda aina ya wachezaji mlio nao...
BTW, naona hauifahamu Man Utd...ebu niambie ni msimu upi katika SAF's era ambapo Utd ilisajili hao wachezaji wengi kama goons unavyodai inafanya sasa? Season Utd ilipochukua 20th EPL title, ilimsajili RvP tu na kuchukua kombe...
Kwa vile sasa timu inapitisha fagio la chuma, wachezaji wapya wa kuongeza nguvu ni muhimu...hao watakuja kuimarisha wachezaji kutoka kwenye academy, ambayo toka imeanzishwa, kila msimu utoa mchezaji kwenda kwenye kikosi cha kwanza, again a world breaking thing...
teh teh teh teh waambie Hao wao kwa Arsenal huwa hakuna jema na ndio maana kwao hata 7 ni bora kuliko 4 na kwa wengine msimu bila kikombe kwao ni bora kuliko ndoo ya FA.