Bonge ya Sign nimelikubali ila roho inasema dah tehtehteh! Ila jamaa Original sio China ya Kariakoo hongereni.Yeah, this is ndiyo mambo tunayoyapenda wana Arsenal. Wale msiotutakia mema subirini dozi zenu mwezi ujao.
Bonge ya Sign nimelikubali ila roho inasema dah tehtehteh! Ila jamaa Original sio China ya Kariakoo hongereni.
Debuchy tunatarajia leo mambo yatakuwa saafi, pia Kuna tetesi kuwa Sami Khedira, Ospina, na Loic Remy!!au tukimpata Schneiderin wa Southampton kama kiungo mkabaji, si mbaya! Sanchez hapo tumepata Jembe! Alafu jezi zetu mpya zinazoandaliwa na puma utazipenda mwaka huu, lazima nipate yangu genuine. Pia mwendo ni dozi tu.
Bonge ya Sign nimelikubali ila roho inasema dah tehtehteh! Ila jamaa Original sio China ya Kariakoo hongereni.
Congratulation kwa Gunners wote huu ni mwanzo mzuri sasa tunahtaji DM, RB na straiker mwingne m1 hata akiwa Loic Remy si mbaya pia na center back endapo kama TV5 Ataondoka.
BTW hii inaleta matumain kuwa panick signing inaweza isitokee kwa Gunners msimu huu.
..COYG...
The problem with this one ni kwamba anakumbwa na majeruh ya mara kwa mara halafu siku zote hayupo consistency katika kiwango chake, but all in all lets wait and seen what Prof will do.
Nami simwamini. Ila tutaona, cha muhimu ni lazima kupata jembe jipya idara hiyo.
Puma wametenda haki mnoo
Sijui atapewa jezi namba ngapi jembe jipya