ahsante ila hatuna pressure tunawahesabia the gunners miaka tisa mingine!!
Yaaani sijui nianzie wapi maanaa ndo nimefunguliwa kutoka kwenye ban..hongereni aseno
Mkuu kumbe ulikuwa kwenye ban, pole sana na asante kwa pongezi zako.
hahahaaah,,,,siku nyingi sana hizo.Niliwaudhi wakubwa hawa wakanitwanga ban siku kumi
Niliwaudhi wakubwa hawa wakanitwanga ban siku kumi
hahahaaah,,,,siku nyingi sana hizo.
Usije shangaa hata kusema aseno hoyeeee napigwa ban
Watani wangu HONGERENI sana wapendwa. The Gunners mpo juu kama matawi!! Kudozzzzz
Watani wangu HONGERENI sana wapendwa. The Gunners mpo juu kama matawi!! Kudozzzzz
mimi ni fun mkubwa wa arsenal na leo nimefurahi sana. ila mkuu maneno uliyoyaongea hapo juu ni kweli tupu wenga hana tena jipya aondoke tu. tumechoka na ubahili wake wa kutosajili wachezaji bora.huyu mzee angestaafu leo kwa heshima kuliko huko mbele atafukuzwa hana jipya.
Haters wameanza kuhesabu, eti arsenal hawajachukua taji lolote tangu jana usiku.
Kama Arsenal itafanikisha usajili wake nakwambia mwakani watasumbua sana