Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila tuseme kweli; ARSENAL FC wapeni wachezaji wenu mishahara mizuri ..

Giroud analipwa paundi 60,000. kwa wiki..😕

halafu wanategemea afunge magoli kama SUAREZ,AGUERO.....ni sawa na kununua corolla utegemee perfomance ya BMW M3.........
 
Suarez anachota paundi 200,000 kwa wiki.
Kun Aguero anachota paundi 220,000.
Eden Hazard anachota paundi 185,000 kwa wiki.:smile-big:
Yaya Toure anachota paundi 200,000 kwa wiki.
Samir Nasri anachota paundi 140,000 kwa wiki.
Wayne Rooney anachota 300,000 kwa wiki.
halafu wanategemea afunge magoli kama SUAREZ,AGUERO.....ni sawa na kununua corolla utegemee perfomance ya BMW M3.........
 
Mkuu Mancs wanatoa ngawira lakini angalia wanachezea kichapo kwa bottom club wapo down 2 - 1 ..... .... .. Prof yupo top manager mark my word. EPL sio chandimu labda Mafioso Chelsick wanaonunua matokeo na Manure .... .... .
 
Naona Asenane mnapumua sasa kwa dozi anayogawa cp kwa hasimu wenu make dalili za europa zilkuwa njenje hahahaha!
 
Mkuu usiwe na wasi wasi Prof haangalii msimu huu moja kama wapenzi anaangalia mbali usiwe na shaka, Gunners wapo top top ndio sababu media yote ya UK wanampiga vita, sio rahisi kupigwa vita na media pamoja na mambo mengine COYG ... ... .... ....

BTW Nasri scrappy goal 2 - 2

Nasri anakosa goli la ushindi hapa 89th minute .. .... .. ..... .... .. 4 min added time ... .... tick tick tick ... ...

All over 2-2 pamoja na ngawira zote Mancs wamefulia.
 
Reactions: Mbu
Manager wa Everton aliyekuwa anasifiwa kwa sababu ati wamewafunga Gunners leo kagonga mwamba .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

COYG ..... ..... haters kuleni mawe.
 
Mkuu hawa Cp hawafai Maureen anajua walichomfanya hana hamu nao. Wao hawaangalii upo nyumbani au ugenini wao kazi yao kubwa ni kukuvulisha nguo!
 
Watani leo Kupata nafasi ya 4 mtashangilia kama ndio mmekuwa mabingwa.
Kama kawaida yenukila mwaka mnataka 4th place, then mnaanza kumlaumu Wenger!
Khaaaa!
Inabidi mbadilike sasa kila mwaka kuwania 4th place ni mediocrity
 
Difference btn us and city is 4pts, na mwendo wao 2naweza kuwapita only liverpool we cant overturn bt chelsea and city, possible
 
Watani leo Kupata nafasi ya 4 mtashangilia kama ndio mmekuwa mabingwa.
Kama kawaida yenukila mwaka mnataka 4th place, then mnaanza kumlaumu Wenger!
Khaaaa!
Inabidi mbadilike sasa kila mwaka kuwania 4th place ni mediocrity

No 4 kwa Arsenal ni sawa na ubingwa,next season wataukosa hata huo ubingwa wao
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu,
pole sana na Kuuguza, na safari njema.
Mwenyezi Mungu awavushe salama katika mtihani huo.
Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…