Bado sijiamini na hii fainali,,,,hawa hull city wazuri kiaina.
Ni hizi redio za mtaani ndo nimeskia kaka, wanasema eti yule wa everton, sijui. Kwani bado hajaongeza mkataba si ni wiki hii?
.....#SteveBruce yupo pale...
Underdogs who have nothing to lose.
Anyway, keep your faith bro....
Kwa Mwenyezi Mungu lolote lawezekana.
#MosKwito !
yah ndo najariibu kuizoesha fujo zenu mkichukua uefa na pia najaribu kuzoea hali huku nikianaa majibu ya kejeli zenu mttaakazoziletabasi andaa panadol mapemaa kama siyo Diclopar kabisaa.
Wakubwa tujiandae kugombania Europa League msimu ujao... Ndio nimeshakata tamaa, mnisamehe.
kimelia west ham 1
Dah hii tim sio ya kucheza uefa. Wabovu sana arsenane..
Nan ka.score?
west ham ila na arsenal nao wamesawazisha HT 1-1