dak ya 75 mkuu tushalala.
bayen 0,dotmund 3.
Mimi nipo muda wote Chifu....Wakati mwingine ni bora kukaa kimya tu....Bora umeonekana leo! Tatizo ni Wenger tu...miaka 9 bila kombe! Huyo ni kocha ama?!
Insignificant match for Buyern?!?
Nikiona hivyo naumia sana...
acha kuumia,kila mtu ana mnyonge wake.