Hiyo FFP ni kama kiini macho imeanza tangu 2011-2012 lakini still timu zimeendelea kununua wachezaji,msimu huu Man City wamewanunua Fernandinho,Navas,Negredo,Demicheles na Jovetic while Chelsea wamenunua Etoo,Matic,Salah,Willian na kibaya zaidi wana wachezaji vijana wengi Cesar,Matic,Oscar,Hazard,Willian,Ginkel,Schurle,Luiz plus Thibout,Lukaku na wengine kibao waliopo nje kwa mkopo
,.......dahhh?! ndio kusema sie tuendelee kuwa #washiriki tu EPL na CL sio #Washindani wenye lengo la kutwaa Ubingwa?!
No way bana, matakwa yangu Arsenal iwe mshindani na awe Bingwa hata kama sio kila kombe but angalau chupu chupu 2nd place/Runners Up....
Siridhiki na huo mfumo wa kuinua vipaji na kuuza wachezaji, kwa faida ya nani? #Board ?....yes I bet! No wonder walimfanyia njama David Dein aondoke na Lady Nina akauza shares zake.
#MosKwito !
Mbu
Kuna kutofautiana kwenye uonekano wa timu, Kuna wengi wanaotaka kombe na kuna wachache wenye hisa kubwa wanataka pesa
Nafikiri utanielewa
mkuu haiko hivyo...kinachofanya tushindwe kununua players amabo ni world class players, ni jambo moja tu...madeni yaliyokithiri nabajeti ndogo kubakia kununua players...hii ni transition iliyokuja toka ujenzi wa uwanja ulipoanza 2003..kwa sababu project ilikomba pesa kama pound milioni 500 (excluding interest rates) sera zifuatazo kufunga mkanda matumizi ni kama ifuatavyo
- strict wage structure "socialist wage structure"
- wachezaji wenye 30 years na zaidi mikataba mipya haizidi mwaka mmoja
- kuuza wachezaji nyota walau mmoja mwisho wa msimu kufidia kiasi cha pesa zinazoenda kwenye deni
- tickets za mechi ghali zaidi uingereza
- kushiriki UCL kwa sababu za kupanua mapato na kubakia Top club (katika wakati wote wa kipindi cha mpito)
kwa undani zaidi jinsi ujenzi ulivyo ivuruga ARSENAL pitia hapa Emirates Stadium - Wikipedia, the free encyclopedia
na habari zaidi ni kuwa bodi ilitofautiana juu ya mwenendo wa kifedha wa timu hivyo waliona wapate mwekezaji "investor" ila disagreement ilikuja baina ya David Dein na wenzie ambao walikuwa na share nyingi...David akiwa kama Vice chairman alitaka tajiri mwenye fedha za kumwaga timu ipambane na vigogo kama Chelsea na wengine...wengine mtazamo wao ni aje mwekezaji lakini aiwache clabu ijiendeshe yenyewe katika mfumo wa "internal revenues" dein akamuuzia Ulisher usmanov akaishia zake mwaka 2007, kroenke akauziwa na rest of majority share holders akina Danny fizzman (kashafariki huyu jamaa),lady nina bracewell,na peter hillwood akafikia 60% ya ownership...ila inasemekana hana PASSION na soka hata kidogo ni kukomba faida na kutokomea marekani
Hiyo FFP ni kama kiini macho imeanza tangu 2011-2012 lakini still timu zimeendelea kununua wachezaji,msimu huu Man City wamewanunua Fernandinho,Navas,Negredo,Demicheles na Jovetic while Chelsea wamenunua Etoo,Matic,Salah,Willian na kibaya zaidi wana wachezaji vijana wengi Cesar,Matic,Oscar,Hazard,Willian,Ginkel,Schurle,Luiz plus Thibout,Lukaku na wengine kibao waliopo nje kwa mkopo
Wapenzi wenzangu wa Arsenal hivi mnaamini kupata ushindi vs Wigan jmosi? Kwa upande wangu naona tutapigwa ubaya na hawa jamaa, sina imani na hii timu kwa sasa.
.......they said it was all over? It is now......#COYG , let us pick up our pieces and move on!
Tuanzane na #postmortem sasa, au bado wenzangu mna matumaini ya #lifesupportmachine aka "mathematically" speaking we still have chances for this and that?
Bro Wacha1 haya matokeo yanafadhaisha, but we are the #Gunners , there's still life after all this trauma..... We'll always bounce back,....keeping the faith!
.... Richard wapi analysis zako mkuu, Balantanda, njoo utupie madongo huku, Viper, rubaman, Wandugu Masanja, Piere. Fm vipi banaa, tuendeleeni kubanana humu!
......#COYG , it's a battle cry, Together We Stand!!!!
View attachment 149788
#MosKwito !
.....idadi ya doubtful kucheza plus idadi ya wachezaji majeruhi inakatisha tamaa...
Rosicky, The Ox, Gibbs, Kos the Boss, Ozil,......
Anyway, fingers crossed bro.
#MosKwito !
.....idadi ya doubtful kucheza plus idadi ya wachezaji majeruhi inakatisha tamaa...
Rosicky, The Ox, Gibbs, Kos the Boss, Ozil,......
Anyway, fingers crossed bro.
#MosKwito !
Mtanange wetu wa FA cup utakuwa J2 saa 8:05 mchana kwa saa za summer UK. Wale wanoko ooops wauza unga wa kwenye cow shed wanaonunua matokeo nafahamu wanachungulia hapa COYG.
Wigan have massive experience of playing at Wembley than Arsenal in recent years. They can capitalise on this.