Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakataa..Alafu unaweza kuwa umelewa

umeishiwa hoja. wenger hajawahi kushinda kombe england na timu aliyoitengeneza complete.FACT. aliowakuta walipoondoka tu makombe yamekata miaka 9 sasa,may FA CUP anaweza kushinda may
 

Dah...Aisee!!
 
umeishiwa hoja. wenger hajawahi kushinda kombe england na timu aliyoitengeneza complete.FACT. aliowakuta walipoondoka tu makombe yamekata miaka 9 sasa,may FA CUP anaweza kushinda may

We jamaa utakuwa manure....
 

Hakika nakubaliana nawe ndugu Belo, tatizo kubwa la Wenger ni kutobadili mbinu yaani kutokuwa na plan B na kitu kingine ni kuwa binafsi naaminin kuna tatizo katika medical room (clinic) ya Arsenal coz ni katika kila msimu inapofika wakati ligi imekuwa ngumu na imechachamaa ndipo wachezaji wengi muhimu wanapata majeraha na wale waliopona majeraha utasikia wameumia tena mazoezini.
But all in all kama ulivyosema kuna umuhimu wa kupunguza wachezaji magalasa na wasio na umuhimu na kutafuta wachezaji wengine muhimu kuna wachezaji kama Diaby, podolsk, bendtener, monreal, park, Arteta wote hawa wameshachoka wanatakiwa kuondoka pia wenger hana kiungo mkabaji wa maana kila siku anamlazimsha Arteta acheze hapo na pia hakuna kiongozi ndani ya Uwanja.
Kwa upande wa Giroud to be honest ni mchezaji ambaye kama akiwa Arsenal basi anatakiwa awe anacheza katika mashindano ya FA cup au Capital One.
 

mdudu Mbu as U used to say Together we stand but to be honest i think there is nothing new prof Wenger anaweza badilisha so lets wait and see kama after this season anaweza kustep down au la but to be honest i dont think Prof anawez kutengeneza tena Invinsible.
 
Last edited by a moderator:

Monreal,Arteta,Podoski wote ni Top players kitu kilichopo ni jinsi ya kuwatumia...

Ukitizama kwa makini mtu kama Monreal huwezi kumchezesha na Left winger kama podoski au Santi Cazorla ambao hawana Pace ukategemea mambo kuwa mazuri...upande ule weka mtu mwenye kasi na anae track back....kiukweli podoski na Santi ni attacking minded with limited Pace...matokeo yake ni kumuexpose Left back

Arteta ni AMD sio natural Defensive midfielder..Na kitu kingine anakosa Speed na Energy ya kutosha...sio kosa lake kucheza Defensive Midfielder anapewa majukumu hayo..lakini kwa tuliomuona toka everton jamaa ni AMD mzuri sana...

Podoski ni mchezaji mzuri sana ila timu ikiwa na mipira..ikiwa ina possess mipira na Counter..ila timu ikizidiwa ni Liability sana kwani hakabi na sio Dribbler mzuri na hawez kumpita beki

Lakini hii ni down to a manager kuwa utilize vizuri kwani Everton mbona wako vizuri je wao wana wachezaji gani? Unagundua ni Tactics za kocha wao na Motivation anayotoa

WENGER anaweka "Imani kubwa" sana kwa wachezaji na inamgharimu sana...vipigo vya paka mwizi Usilaumu wachezaji ni.Game plan mbovu aliyoiandaa kocha...

Nawasilisha
 

Yap mkuu kiukweli arteta siyo Holding midfilder but Wenger anamlazimisha kutokana na kutokuwepo kwa DM pale Kuhusu Monreal binafsi naamin kazoea mpira ule wa kihispania yaani ili Monreal aonekane mzuri zaidi basi inatakiwa timu imiliki mpira kwa saana kinyume na hapo ndio inakuwa kama kawaida yake kwamba badala ya kukaba mtu anaanza kurudi nyuma.
Kuhusu Podolsk ye ni waz kuwa siyo mtu wa pembeni bali ni mtu wa kati na kulingana na mfumo anaoutumia Wenger wa kusimamisha mshambuliaji mmoja kati ni wazi kuwa Podolsk hawezi podolsk ni mzuri zaidi kama akisimama katikati na mwenzake (yaan wawe washambuliaji wawili mbele.)
So kwa kiasi fulani naweza kubaliana na wewe mkuu kwamba mzee Wenger kaishiwa mbinu za Ziada.
 

hivi timu ilipokuwa inafanya vizuri mwanzoni mwa ligi Wenger alikuwa anatumia mbinu gani??kwanini ubovu wa Wenger unaonekana mwisho wa ligi?
 
Kila msimu huwa hivi, wachezaji wanachoka coz ni walewale, wengine makinda hawana uziefu


ili upate mataji unahitaji mambo 3 ya msingi mnisikie majirani zetu wa london:

1. timu bora(yenye wachezaji wanaopenda kushinda na wanochukia kushindwa)
2. kocha bora (ambaye haridhiki na kuwa top 4; badala yake anaridhika na mataji.
3. mashabiki

arsenal kwenye #3 mmefaulu kabisa; arsenal nyinyi mashabiki wazuri mnao; tena wavumilivu kabisa.
ila kwenye #1, na #2 sina uhakika sana..jipangeni upya..

jifunzeni kufanya maamuzi magumu..chukueni kocha imara; kocha wa mataji..mnasubiri nini?
 

hivi unadhani Wenger anaridhika na kuwa top 4. Kocha ambaye kashaonja raha ya kubeba ubingwa hawezi kuridhika na kuwa top 4. Arsenal wangekuwa na pesa za kununua wachezaji wazuri kama timu nyingine eg Chelsea, City wangekuwa wana uwezo wa kugombania ubingwa. Anyway, naamini misimu ijayo Arsenal wanaweza kuanza kununua wachezaji wazuri ingawaje hanunua wachezaji kwa pesa za kumwaga kama Real Madrid, Barca, City,Chelsea lakini watakuwa bado ni wazuri.
Afu hii kitu ya FFP itaweza kuwasaidia(kugombania wachezaji wazuri) kwa kiasi fulani sababu timu kama City,Chelsea hazitakuwa zinamwaga pesa ovyo ovyo bila kuzingatia revenue(Balancing book) zao zinavyokwenda.
 


ili upate wachezaji wazuri lazima kocha wako awe na mipango;
arsenal si timu maskini bwana..wenyewe hamna malengo na mipango; mmeridhika kuwa top 4.🙂
 

Hiyo FFP ni kama kiini macho imeanza tangu 2011-2012 lakini still timu zimeendelea kununua wachezaji,msimu huu Man City wamewanunua Fernandinho,Navas,Negredo,Demicheles na Jovetic while Chelsea wamenunua Etoo,Matic,Salah,Willian na kibaya zaidi wana wachezaji vijana wengi Cesar,Matic,Oscar,Hazard,Willian,Ginkel,Schurle,Luiz plus Thibout,Lukaku na wengine kibao waliopo nje kwa mkopo
 

FFP Explained

Financial Fair Play Explained
There are currently Financial Fair Play rules in place in:

  • UEFA competitons (for all clubs wishing to take part in the Champions League and Europa League)
  • The Premier League (from 2013/14)
  • The Championship (with punishments from 2013/14)
  • Leagues 1 and 2
The 2013/14 season is a watershed for financial constraint in football. For the first time, all English professional divisions have rules in place that restrict their spending. The restrictions are summarised in the attached table. This table and an accompanying article appeared in the August 2013 edition of When Saturday Comes magazine:


Note to editors: the above table (or variants based on it) cannot be produced without permission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…