Hahahaha UTD hamna cha kutucheka msimu huu na mnaweza kuwa katika hii coma msimu ujao vile vile. Kumbuka Olympiacos wanakuja kuwasha moto Olf Trafford next week. Ebana umesikia the Glazers wanavyoanza kuuza vipande vipande? 10% ya UTD imeshauzwa, muda si mrefu UTD itageuka kama ule mchezo wa mzee Jangala na mzee Kagunga
Sisi matatizo yetu tunayakubali na tutayatatua kabla ya msihuu kuisha ...msimu ujao ukianza normal service will be resumed.
Yeah nimeona kuhusu Glazer ila mpaka sasa hakuna tatizo kwa upande wa club kuhusu hatua waliyochukua
acha upumbavu
Poleni sana wanaarsenal,bahati haikuwa yenu lkn mmejitahidi sana.Jipangeni next time.
Kinachotokea sasa ni zaidi ya aibu[perfomance-wise] yaani mnakuwa kama mnacheza mpo nusu uwanjani.
Ozil anaweza kuweka historia ya kuwa mchezaji ambaye ............... kutokea kwa timu za England
Milan inahitaji kujengwa upya,then Atlético wako vizuri kwa sasa hata hao Bayern akikutana nao anaweza akafungishwa virago.Arsenal wa kujilaumu wenyewe mimi sijaona uzuri wowote wa Bayern kwenye game zote mbili
kweli,ngoja manure ipite ikutane na bayern km hamjala wiki kama barcelona
Tulishabeba hilo kombe mikononi mwa Bayernkweli,ngoja manure ipite ikutane na bayern km hamjala wiki kama barcelona