Arsenal kwa kulalamika hamjambo,
Mna kiusemi chenu ' tuna majeruhi wengi sana'
poleni arsenal fans,ni kama upo ktk wodi ya wagonjwa mpo hoi,jirani kitanda cha pili ambao ndio nyinyi arsenal mmekufa,mimi ni manchester utd nipo kitanda hiki cha kati,arsenal kushoto ndio mshakufa,man city yupo kulia anangoroma kama anakata roho,kitanda cha miguuni yupo chelsea kalala kajinyoosha kimya hajulikani kama anapumua au la!ni shidaaaa
Belo umekazana kuiombea njaa Arsenal mpaka kwenye uzi wa team yako umepotea? Kama huna matokeo ATL 4-1 Milan (5-1 on aggregate)
Hata mngekuwa nyinyi (sijui timu gani) mngelalamika kwa kazi aliyofanya refa... Anyway, UEFA wanajua kuweka marefa wao kwa malengo yao. Robben alitakiwa apewe kadi ya njano alipo dive mara ya kwanza na kama refa angekuwa macho angesingetoa penati.

Refa alikuwa mbovu sana sio kwa Arsenal tu hata kwa Bayern
1.Roben alidive na alistahili yellow card mwanzo
2.Arteta alistahili red card
3.Podolski alicheza rafu kabla hajafunga goli
4.Bayern hawakustahili kupewa penati
In general kiwango cha refa kilikuwa very poor.I hope leo umekubali Ozil ni big match flop
Belo umekazana kuiombea njaa Arsenal mpaka kwenye uzi wa team yako umepotea? Kama huna matokeo ATL 4-1 Milan (5-1 on aggregate)
Refa alikuwa mbovu sana sio kwa Arsenal tu hata kwa Bayern
1.Roben alidive na alistahili yellow card mwanzo
2.Arteta alistahili red card
3.Podolski alicheza rafu kabla hajafunga goli
4.Bayern hawakustahili kupewa penati
In general kiwango cha refa kilikuwa very poor.I hope leo umekubali Ozil ni big match flop
Assume Robben kapewa kadi ya njano, halafu Podolski hajapewa kadi hapo unaonaje??
Refa alikuwa anajitahidi kutokuwa na filimbi nyingi na ame-balance kwa pande zote.
Mlichemsha game ya kwanza fulltop. Leo Bayern wakawa wanafanya kazi ya kumiliki mpira kwa sana ili Arsenal wasicheze
Arsenal tujilaumu wenyewe, tungekuwa wa kwanza katika group stage tungekuwa na nafasi ya kuingia robo fainali... Mwakani inatakiwa tununue vifaa vya kuuwa jeshi
Ozil nasikia kacheza karibia kipindi chote cha 1 akiwa na maumivu(kaumia)... afu ukiangalia leo kacheza sana upande wa kulia badala ya katikati anapopendelea, pia huwezi kutegemea acheze vyema akiwa na mtu kama Giroud... Mpe msimu mwingine ndo uje na judgements. Bado nina matumaini makubwa ata bounce msimu ujao.
Podolski unaweza kusema ni rafu lakini ilikuwa weak push kama aliyojiangusha Robben (penati)... Anyway, maamuzi ya marefa ktk CL vs timu za England ndo huu hasa zinapocheza na top teams toka Spain/Germany.
In Wenger we trust
Milan inahitaji kujengwa upya,then Atlético wako vizuri kwa sasa hata hao Bayern akikutana nao anaweza akafungishwa virago.Arsenal wa kujilaumu wenyewe mimi sijaona uzuri wowote wa Bayern kwenye game zote mbili
Ozil anaweza kuweka historia ya kuwa mchezaji ambaye ............... kutokea kwa timu za England
Teh teh teh teh, Bayern wamesaidiwa sana na refa, match ya kwanza ingeisha bila ya red sijui ingekuaje? penalty ya match ya kwanza na ya leo ya Robben deserves an Oscar
LOL hamshindi Sebastian Veron, etc. Ozil angekuwa kacheza zaidi ya msimu mmoja ningekubali mnachosema. Isitoshe effects yake ilionekana alipohamia.... Bottom line jamaa kawa burnt out na mikemike ya mpira wa England, no winter breaks kama alipotokea Spain na Germany... hata Mertesacker alikuwa anaonekana ovyo msimu wa kwanza lakini angalia msimu huu.
Kinachotokea sasa ni zaidi ya aibu[perfomance-wise] yaani mnakuwa kama mnacheza mpo nusu uwanjani.