poleni arsenal fans,ni kama upo ktk wodi ya wagonjwa mpo hoi,jirani kitanda cha pili ambao ndio nyinyi arsenal mmekufa,mimi ni manchester utd nipo kitanda hiki cha kati,arsenal kushoto ndio mshakufa,man city yupo kulia anangoroma kama anakata roho,kitanda cha miguuni yupo chelsea kalala kajinyoosha kimya hajulikani kama anapumua au la!ni shidaaaa