MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Wanajamvi wa Arsenal mpo wapi leo?
tupo mbona tunafuatilia mtanange kimya kimya....Mbona uko peke yako weye?
Watu wa5 off-side we huna majicho...? Refa kabebaje pale? #Mburukengegoooooo... refa kawabeba
Wamekimbia! Wako darini Wamejificha hawajashuka!