Arsenal (The Gunners) | Special Thread





Prof ametua Bavaria na vijana kwa mtanange
wa kukata na shoka kesho ... .....
wanoko wanaweweseka
Gunners wametulia .... ...
COYG
 
Kesho Ngamia atapita ndani ya tundu la sindano Matthew 19:24
 




Prof ametua Bavaria na vijana kwa mtanange
wa kukata na shoka kesho ... .....
wanoko wanaweweseka
Gunners wametulia .... ...
COYG

Wacha1 unaroho ya paka kwakweli. Utaishi miaka michache kwa BP ya kushabikia ASS-ENAL.......!
 
Last edited by a moderator:
i cant wait for today`s match,hahahah kama namuona ozil vile alivyoipania mechi ya leo kwa kukaba na kushambulia bila ya kuchoka.
 

....COYG!!!, #4BetterOrWorse, TOGETHER WE STAND!!!!!
BEST WISHES KWA GUNNERS WOTE TONIGHT....





Prof ametua Bavaria na vijana kwa mtanange
wa kukata na shoka kesho ... .....
wanoko wanaweweseka
Gunners wametulia .... ...
COYG
 
i cant wait for today`s match,hahahah kama namuona ozil vile alivyoipania mechi ya leo kwa kukaba na kushambulia bila ya kuchoka.

Asene Wenger kashaanza kulialia kwa refa eti mchezaji wake asitolewe.badala ya kuhangaika na discipline ya wachezaji wake analaumu marefa....red card 100 nyingi sana
 
Kila la heri gunnerz,fanyeni la maana sasa huko.YNWA

"Nlikuwepo":bolt:
 
Duuh wakuu leo nasikitika sitaweza kuuona huu mtanange nipo mbali na TV so tusaidiane updates wakuu.
..COYG...
 
Ningependa sana leo muitoe Munich ila moyo unakataa kabisa. Best Wishes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…