Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matunda ys Ozil kula chuma yanaanza kuonekana. Cc all haters. Ntuzu

Nilikuambia hapo nyuma Kua Ozil mzembe na anatakiwa kukaa benchi ukakataa! Umeona sasa kawekwa bench kidogo na kufanya mazoezi kidogo ameanza kubadilika!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuambia hapo nyuma Kua Ozil mzembe na anatakiwa kukaa benchi ukakataa! Umeona sasa kawekwa bench kidogo na kufanya mazoezi kidogo ameanza kubadilika!
Kuna kitu kinaitwa "Fatigue" unakijua? Ndo hicho alikuwa nacho. katumika sana, so alivyopata relax kajaa now na mtakoma.
 
Point 4 unafikiri mchezo? Hizo ndoto Mkuu! Ata Ndg yng Ng'wamapalala hawezi kuota namna Hiyo Zaidi atajivunia Kua na mashabiki wengi mpk china!
Mashabiki tulikuwa nao tangu kitambo, hizo Point 4 hazitupi taabu kuzipata mkuu, na kwa taarifa tunachukua pt 3 kwenu SB...Omba uzima uzimie hiyo siku.
 
Kuna kitu kinaitwa "Fatigue" unakijua? Ndo hicho alikuwa nacho. katumika sana, so alivyopata relax kajaa now na mtakoma.

Yuli alichemka tu na kiwango chake akizubaa kitaishia msimu huu na kubaki picha tu!
 
Na hizi ni salamu kwa Totenham,,wanachonga sana kuhusu kuumia kwa Welshire!!
 
Mashabiki tulikuwa nao tangu kitambo, hizo Point 4 hazitupi taabu kuzipata mkuu, na kwa taarifa tunachukua pt 3 kwenu SB...Omba uzima uzimie hiyo siku.

Narudia tena! Wenger Hana sifa na record ya kumfunga Mourinho ! Yani siku Hiyo mtapigwa Km mbwa koko! Muulize Katavi na Balantanda wanajua hili!

Leo naanza kumnyonga Spurs nikuzidi point 7 kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Man City to go out of FA cup tomorrow. Put some money on it and win you some.
 
Ozil, man of the match, goal galore for Giroud, aise labda vijana bado wamo, maana hizi wiki 2 au 3 zilizopita kwa kweli ilikuwa balaa.. hongera Gunners..
 
Back
Top Bottom