Mkuu una moyo sana kubishana na huyu mtu...ana makelele sana!! Mwache abwabwaje ndo style yao hawa #TeamMburukenge ....!!Hivi hii dhana ya kusema tulisema tutabeba kombe unatoa wapi?.
Katika Manager wanaoheshimiwa hapa UK, Arsene Wenger kwa sasa ni namba moja kutokana na uwezo wake siyo kwa mambo ya mpira peke yake bali pia kwa mambo ya creative economy ambapo football ni mojawapo. Huwezi kumsikia Wenger akisema timu yake itachukua kombe bali utamsikia akisema, tunapambana mpaka mwisho huku tuki enjoy pale tunaposhinda match yoyote kwa sababu kwenye ulimwengu wa football, you have to live like there's no tomorrow, because there is no tomorrow!.
Ndugu yangu Ntuzu , usituwekee mdomoni maneno ya kuokota barabarani.
Mwone huyu...anadhani kukabidhiwa kikombe ni sawa na kupewa BigG dukani!! Team yenu bado iko hovyo sana!! Na tutawapiga kwenu halafu tuone ndoto zako unazoota mchana hizo... #TeamMburukengeMkuu game yng mimi Chelsea ya tarehe 3 mwezi Wa 5 itakayo fanyika darajani dhidi ya Norwich City ni ya kukabiziwa kombe!
Ukiangalia ratiba ya mwezi huu Wa 3 ya Chelsea na Arsenal bila Shaka utaona Arsenal ndio wanapanda mlima! Na kwa upande Wa Chelsea iko tambalale sn!
Game ya Arsenal ndio muhimu sn kuwafunga ili tuwazidi point 7 wasitusumbue kabisa!
Achana na huyu mtu mkuu...mwache apakue JF yote hawezi kurudi hapa ni makelele tu Ntuzuzilete hizo post.
Mkuu usife mouo ni mapema mno kuanza kulialia au kupoteza ufahamu...zimebaki game zaidi ya 10...points zaidi ya 30...lets fight together till the end. Be DieHard Bro!!Ni kama kasign mkataba kuongeza muda wa kukaa Arsenal bila vikombe. Huyu mzee balaa haki ya nani!!!!
Mkuu, nimeipenda Arsenal tangu utotoni, siijui timu nyingine (UK) zaidi ya hii, nna hali mbaya kweli haki ya mama!!!!!
wE UMEONGEA LA MAANA..mbio za ubingwa bado...hao Chelsick ni wagonjwa sana kuanza kuota ubiingwa now...we gona bounce back soon!!Mwaka huu ligi ni ngumu sana, ubingwa utaamuliwa na mechi ambazo watu hawatarajii kabisa, ona Liverpool imekaa juu ya arsenal na wako vizuri sana kwa sasa. Acha tuone kufika mwisho itakuwaje ila timu zote nne yaani arsenal, man city, Chelsea na Liverpool any one among of then can be 2013/14 champion.
Nahisi una mning'inio wa viroba!! Si bure.man utd ndo atachukua ubingwa mwaka huu
Naona hawa mashabiki #AnsanteAbromovic wamechachamaa kweli na kelele zao humu ndani.
Ktk Siku ulizonifurahisha ni Leo!
Jamaa zako wamo Wengi humu walikua wanatangaza Ubingwa! Ngoja ntakuletea post zao!
Kweli arsenal wanafurahisha sn!
Kitendawili: mwezi wa kwanza ilikuwa ya kwanza,mwezi wa pili ilikuwa ya pili,mwezi wa tatu imekuwa ya tatu???
Ata km gap ni point 4 tu, Lkn kwa mujibu Wa ratiba jinsi ilivyo kwa Aresenal ya mwezi huu Lazima walie sn!
Teh teh teh....
Jibu ni Arsenal..
"Nlikuwepo":bolt: