Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sioni hata mmoja akimlaumu kocha
humu, vp leo kocha kafanya vizur?
 
Naona majeruhi yanaanza kuongezeka February. Tumempoteza Monreal, Koscielny, Gibbs, Wilshere naona naye anahangaika na hamstring, Podo naye anaonekana ana maumivu... Kazi ngumu.
 
Umeiona fixture yenu ya March
 
Naona majeruhi yanaanza kuongezeka February. Tumempoteza Monreal, Koscielny, Gibbs, Wilshere naona naye anahangaika na hamstring, Podo naye anaonekana ana maumivu... Kazi ngumu.

Mbaya zaidi babu aligoma kufanya usajili wa maana wakati wa dirisha dogo. Majeruhi hawa itakuwa our major setback!
 
Live Table »
FT
Chelsea
1 - 0
Everton
FT
Arsenal
4 - 1
Sunderland
90' +2'
Cardiff City
0 - 4
Hull City
90' +3'
Manchester City
1 - 0
Stoke City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…