Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani na Wenger is partly to blame, kama mwenyewe ali-admit kuwa Ozil hakuregain his level of confidence baada ya kukosa penati, kwa nini alimuacha amalize dk 90?
 
Reactions: EMT
Arsenal ilikuwa inahitaji sana wachezaji dizaini ya Flamini na Metersacker hawa jamaa wana mentality za kingereza na wamewasaidia sana Arsenal msimu huu
 
Reactions: EMT
Nadhani na Wenger is partly to blame, kama mwenyewe ali-admit kuwa Ozil hakuregain his level of confidence baada ya kukosa penati, kwa nini alimuacha amalize dk 90?

He was the third-choice penalty taker.

The first two hawakucheza na kama second choice (Giroud) angekuwepo labda angefunga ile penalty.

But Wenger aliamua kumweka bench his main striker Giroud na kumpanga yule dogo.
 
Kroos na Muller wanafunga mara ya pili mfululizo pale emirates vs arsenal,maana hata msimu uliopita wao jumlisha Mandzukic super Mario walifunga 1-3 Bayern Munich walipomchapa Arsenal ktk ucl msimu uliopita 16 raundi@emirates stadium.
 
He was the third-choice penalty taker.

The first two hawakucheza na kama second choice (Giroud) angekuwepo labda angefunga ile penalty.

But Wenger aliamua kumweka bench his main striker Giroud na kumpanga yule dogo.

Baada ya kukosa penati na kupotea uwanjani kwanini hakumtoa?

Giroud sijui alikua anaadhibiwa kutokana na scandal yake?

Nadhani Wenger akipanga vizuri team yake kwenye second leg anaweza akapata chochote
 
HahahahahaaaaaaaaaAAaaaaaaaaaa,kie kie kie kieeeeeeeeeee...
Mkuu naonq kicheko chako umekisahau kidogo.
Hamjaonewa lakini.Hata kama mliwazidi kwa mpira,wao waliwazidi kwa mbinu.Usitake kuniaminisha kuwa hata pasi walizopiga walibebwa na refa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
maumiv ya kichwa huanza polepole,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…