Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
huyu inabidi muanze kumpa mapumziko kidogo nahisi hajazoea mikiki ya englanda kwamba kila katikati ya wiki mnakutana na mechi.ila wengi wanasema kiwango chake kimeshuka kidogo kutokana na ramsey kuwa nje ngoja tumuone akisharudi then tutafanya hitimisho ni ramsey alikuwa anambeba au mwenyewe tu uchovu unamuathiri??Ni kweli katuangusha sana...alipaswa pale pale kumshika nyoka na kumkata kichwa kwa kutumia jambia.
Am sure kama lile goli angefunga Bayern wangechanganyikiwa na tungeendelea kuwapiga kwa counter attack
I think ulikuwa umfatilii Ozil alivyokuwa Real Madrid,Ozil alikuwa flop kwenye most El Classico against Barca na mara nyingi huwa anatolewa.Then angalia perfomance yake kwenye game against Liverpool,United,City na Chelsea .Jana nimemshangaa Wenger amemwacha hadi mwisho akampa Kazi kubwa sana Monreal
Maneeeeeeeeeeeeeeno hayooooooooooUsiposhiba migombani, miwani utakojoa tu.
Bayern wamemtoa Mandzukic kaingia Mueller,baadae kaingia Pizzaro,Schwensteigger yuko benchi hana nafasi....sasa Arsenal wakimtoa Sanogo anaingia nani?Bendtner au Giroud?? MAJANGA!!!
....kaka, yaani wewe kwenye mpira wa karne hii unasikilizia majina?
Dahh?! Kwa mtaji huo Robin Van Persie na Rooney wasingekuwa na mid table team #MburukengeUnited !
Unawakumbuka Le Galaticos?
Acha hizo za #KampiraNaMpira !!!
#MosKwito !
Nahisi unachanganya baina ya miujiza na kutowezekana! Hata kama Arsenal ikisonga mbele japo kwa penalti, bado itabaki kuwa ni miujiza! Simba waliwahi kufungwa 4-0 nyumbani na Mufulira Wonderers ya Zambia. Wao wakawafunga hao Mufulira 5-0 nyumbani kwao. Iliwezekana, ilitokea, lakini ni miujiza!
ukwelikitugani Siyo kwa Arsenal peke yake. Kushabikia timu yoyote kama hufahamu maana ya mchezo wa football ni kujitafutia BP.Ng'wamapalala,
unakumbuka mbwembwe zako? Na bado,wakija Emirates mnachezea nyingine 3.
kushabikia Ars ni kujitafutia bp tu.
....machungu ya kufungwa hayo; eti mna-ndoto za kuchukua ubingwa; subutuuuu!!!!