Ingawaje sio mtu wa kubet nimeanza kumfuatilia msimu huu. Sometimes naona anapatia mshindi ila score line ndo inakuja ovyo.
Okay... ntaanza kuweka predictions za Lawro na Merson nione nani yupo karibu na ukweli. Nadhani tuchali zaidi final results afu ndo twende katika score line ndo tunaweza kuwa fair kiukaribu. au unaonaje?Watu wengi wanamsifia ila mie namuona mzushi anaenda na kitu mtu sana unaona kweli hii inashinda ila sivyo subiri EPL uone atavyoweka then ziweke sehemu jamiiforum na sie tuchague zetu tuone yeye au sie tutapatia? Ijumaa wakiweka ziweke then ni Tag.
Nafasi ya 7 katika EPL. FA na LC sipo.
Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Arsene Wenger ni specialist in failure. To put it more clearer, Wenger is a Professsor of Failureology.
Wanna more credentials on Wenger's specialisation? Just visit Nobel Prize's website, as Wenger is amongst the shortlisted candidates for next year's prize.
Umeanza kufuatilia lini mpira, au nipe umri wako kwanza........
We will prevail where you failed.
kweli na leo kapoteza dhidi ya loserfool ila mourinho kagain jana na man city!
Failed? Talking about the past buddy?
If yes. United has never failed where goons has succeeded! But, goons has always failed where United has succeeded!
Wametufunga bdo tupo juu yao tumewafunga tumewatoa aibu yetu aibu yao??
Failed? Talking about the past buddy?
If yes. United has never failed where goons has succeeded! But, goons has always failed where United has succeeded!
Hongera kwa ushindi....ila nawaonea huruma dhahama inayokuja...
Hongera kwa ushindi....ila nawaonea huruma dhahama inayokuja...