patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 575
Nategemea leo ushindi upo.
Ushindi ni lazima mkuu!
Nategemea leo ushindi upo.
Huyu giroud ni majanga
Tumetulia tunafuatilia kwa umakini.
Hatuna wasiwasi wewe ndio mwenye wasiwasi....
Mpwa ngapi ngapi?
Mmmh hivi shabiki wa Jangwani anaweza kuwa shabiki wa Man U?
Shindwa.....Ata Wenger na Ozil
hizi nafasi ingetakiwa tuwe tumeshazitumia tayari!!!!
Hali ni mbaya kwa Arsenal!
Ushindwe mwenyewe!
Mi niko na dua zng hapa!
Hali ni mbaya kwa Arsenal!
Ok Wenger kawe Mbogo chumba cha mapumziko huko...hasa kwa Giroud ye anachekacheka tu akikosa goli mwambie akaze...Jioni mahesabu...Remember we are at OUR HOME GROUND..Girou