utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
RVP anaipatia Man Utd goli la kwanza
Wewe unaangalia nyuma ya tv Au unaangalia kwenye radio?
RVP anaipatia Man Utd goli la kwanza
Ya kweli haya?
Wewe unaangalia nyuma ya tv Au unaangalia kwenye radio?
Red card kwa Ozil
Huyu girud sawa na hakuna
Usidanganye watu
Zaidi ya hakuna, anasaidia beki ya Man U!!
Km alivyo hakuna Mzee Wenger!
Dakika ya 86 Arsenal 0 Man Utd 1
Dakika ya 86 Arsenal 0 Man Utd 1