ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
Mkuu huwa haitabiriki vipi? Mbona mechi tano za mwisho arsenal kashinda moja tuu nyingine zote za mashetani! Nadhani hapo umepata jibu.
mechi ya arsenal vs man utd huwa haitabiriki......lolote laweza kutokea...
Cha msingi ni kusubiri dakika 90 chifu.....