Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
nilijua nini ktatokea ndo maana sikutaka hata kutabiri yaani siku hizi kutabiri game za man u imewkuwa kazi sana haijalishi yupo home o away.....hehehehh.... Haya bana, #DaudiMuya ana easy fixture leo Craven Cottage kwa aliyekuwa msaidizi wa Fergie, #Meulensteen !
Nini utabiri wako?
huwezi jua inaweza ikawa 98.6 kabisasitaacha kuisikiliza....iinanipa rahaaa.....masafa saafii...nasikia kuna uwezekano baada ya mechi na chelsea masafa yakabadilika ikawa
86.57 fm...sijui kuna ukweli wowote???
Wakuu wangu wa nguvu Asalaam Aleikum...dah wikend yangu ilikuwa mbaya sijawahi ona, niliboreka mno kila ninachokifanya hakiwezekani...kichapo pia kilinchanganya! Nikaona nipoteze mda kwenye pooltable nako nikabondwa, hata usingizi sikuupata na sikujisumbua kuangalia what media displays...anyway I'm back to bizness...
Let's keep hope my colleague!
Mbu pierre Wacha1 Richard Katavi Balantanda dully jr
COYG
Kaka pole sana, ilikuwa wikendi mbaya sana kwa kweli lakini tutarejea tu katika moto wetu.Wakuu wangu wa nguvu Asalaam Aleikum...dah wikend yangu ilikuwa mbaya sijawahi ona, niliboreka mno kila ninachokifanya hakiwezekani...kichapo pia kilinchanganya! Nikaona nipoteze mda kwenye pooltable nako nikabondwa, hata usingizi sikuupata na sikujisumbua kuangalia what media displays...anyway I'm back to bizness...
Let's keep hope my colleague!
Mbu pierre Wacha1 Richard Katavi Balantanda dully jr
COYG
masafa marefuuuhuwezi jua inaweza ikawa 98.6 kabisa
......dahhh, yaani majority ya #WapigaVigomaVyaDaku humu tangu jana kumbe ni mashabiki wa #Spuds ?! No wonder hawajitokezi mpaka Arsenal wapoteze game!
#MburukengeNyie ! ...,haya, iokoeni thread yenu kabla haijafutwa, mara ya mwisho ni Shedafa pekee aliyekuwa anashikilia kamba!
View attachment 138117
#MosQw !to.
Feel sorry for whom? Prof, you must be joking, falling at any time is just an accident, it can happen to anybody. People fall everyday at the stations .... ... why this is a big thing? Kwa sababu Gunners tupo kwenye cream za football clubs na wivu ndio unawasumbua, you like other teams go and support them, you hate us thats fine but we cannot agree with people who hide their allegiance to their own teams.
Wakuu wangu wa nguvu Asalaam Aleikum...dah wikend yangu ilikuwa mbaya sijawahi ona, niliboreka mno kila ninachokifanya hakiwezekani...kichapo pia kilinchanganya! Nikaona nipoteze mda kwenye pooltable nako nikabondwa, hata usingizi sikuupata na sikujisumbua kuangalia what media displays...anyway I'm back to bizness...
Let's keep hope my colleague!
Mbu pierre Wacha1 Richard Katavi Balantanda dully jr
COYG
Ok pamoja mkuuUsiwe na wasiwasi mkuu mambo ya kushindwa ni kawaida katika mechi hizi.
Ukumbuke hii ni mechi ya 4 kufungwa kwenye ligi hii.
Tutarekebisha tu na Wenger atafanya mabadiliko ya dharura kwenye first X1.
Bado mnaomboleza? Nimewaletea Rambi Rambi!
Usiwe na wasiwasi mkuu mambo ya kushindwa ni kawaida katika mechi hizi.
Ukumbuke hii ni mechi ya 4 kufungwa kwenye ligi hii.
Tutarekebisha tu na Wenger atafanya mabadiliko ya dharura kwenye first X1.