Game imeisha..Arsenal 3 A.Villa 0..Hongereni sana Arsenal..Ni siku nzuri sana kwangu leo.Arsenal wameshinda na Yanga nao wamechukua Tusker Cup,zawadi nzuri sana hii ya kufungia mwaka...Pole kwa Fabregas kwa kuumia na tumshukuru kwa kuwa chachu ya ushindi wa leo...Tunakuja kuwasssshika!!!
wale wachawi wote tumewakimbiza kwenye jukwaa la michezo leo.thanks to the captain namtakia hapone haraka haweze kurudi tena kufanya mambo.naona kajitonesha kidogo.
Naukumbuka ule wimbo wa TMK Wanaume Halisi...eeeh eeeh wamebana wameachia TATU BILA TATU BILA TATU BILA...Hongereni sana Arsenal..Wenye Wivu wajinyonge(lol)
Game imeisha..Arsenal 3 A.Villa 0..Hongereni sana Arsenal..Ni siku nzuri sana kwangu leo.Arsenal wameshinda na Yanga nao wamechukua Tusker Cup,zawadi nzuri sana hii ya kufungia mwaka...Pole kwa Fabregas kwa kuumia na tumshukuru kwa kuwa chachu ya ushindi wa leo...Tunakuja kuwasssshika!!!
Kumbe na huku tunafanana, basi kilichobaki ni timu za netball....nasikiaga tu kuwa wewe unashangilia ile timu ya dada Asha ...........................................ebwana mkuu leo mpira ulikuwa mzuri sana yaani unapoangalia hasa baada ya goli la pili ilikuwa ni raha sana maana kauhakika kalikuwa kama 75% kabla ya Diaby kumalizia hizo 25% zilizobaki