Eti umesema Morata
Dirisha la usajili limefungwa rasmi.
Kwa hiyo Wenger kashindwa kutusajia Mshambuliaji wa kusaidiana na Giroud???!!!!!
Naona sasa Wenger anajipalilia njia ya kutokuchuku Ubingwa Msimu huu.
Yupo Yaya Sanogo

Kwani mkuu ulitegemea tutabeba ubingwa mwaka huu? Nafasi ya kubeba ilikuwa ndogo na bado ni ndogo hata kabla ya usajili huu mdogo.
na huyu ndiye atakayewapiga man u kati ya 4 tutakazowapiga
Umekariri kijana....!! Subirini doziHuyo mganga wako amekudanganya mtashinda goli 4
Kumbuka yule kijana wenu Wenger aliyetuzawadia atakuwa fit,kama kawaida ndio atafunga goli la ushindi
.........Dahh!
It's not looking good kwa hali iliyopo, labda asubuhi tutaamka na breaking news.....otherwiise.....
We are bare to the bone kwa squad tuliyonayo mpaka mwisho wa msimu, but Arsene Wenger knows better