Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Yale yale ya kuona mnapigwa vita, mwenzako kasema FA ina lake jambo kisa mechi za raundi ya pili (na vigogo wengine) ziko back to back, na mimi nikamjibu mbona raundi hii hakucomment au kwa sababu ilikuwa mchekea. Wewe unakuja na mambo ya kukosa usingizi ebo!!!
Karibu mkuu..Ulipotea sana aisee..Yupo babu Sylivestre,hope atacheza leo,hukawii kusikia naye kaumia..Anyways,kila la heri Arsenal leo,ushindi ni muhimu sana kwa mechi hii ngumu
Baada ya kumkalibisha ilibidi umuelekeze nini kilijili hapa janvini hasa kwenye hii thread yetu. mkuu mbu kalibu sana....kweli sijamuona siku za hivi kalibuni, sijui yupo wapi? au nae kaenda mapumzikoni kama alivyoenda mkuu mbu
Kweli, alikimbia tangu mpira kwisha tarehe 29 Novemba....karibu sana Mh. Anopheles, I just hope haujasambaza Malaria huko ulikokuwa!
Wanapata tabu sana na Arsenal, watajiju
Mkuu ebu rudi kule kwanza ukamalizie kutoa ushauri ndoa za watu ziko matatani, fanya fasta kaka....shukran bro, nilikuwa hukooo kijijini.. jinsi umeme ulivyokuwa wa mgao hata intenet haikuwa 1st priority!
...acha tu, najaribu kuji update na habari za humu, Lol!
...ah ha haa, kumbe mliulopu siku ile? ndio kwanza nayasikia matokeo!
...baaambie hao!
Radical & AW;
Jana tuliongelea sana ugumu wa game ile...and yes, game ikawa ngumu sana upande wetu as expected.....hata hivyo were lucky kuchomoka na point hata moja.....!
PoleniArsenal manager Arsene Wenger confirmed that Fàbregas will definitely miss Saturday's Premier League match at Hull City and his involvement in matches against Aston Villa and Portsmouth at the end of the month is also looking doubtful.
Arsene Wenger said after the draw at Turf Moor: "He is injured, for how long I don't know, it depends what you call serious. It's a hamstring. He will not play on Saturday."
Poleni
HatuhitajiPoleni
mkuu round ya kwanza hatukusema kitu kwa vile ilipangwa fair kwakila timu na hukumuona mkubwa yoyote mwenye back to back kama nilioweka pale.na round ya pili sisi ndio tumepangiwa hivyo na hakuna mkubwa mwingine yoyote alikuwa na schedule kama hile sasa unategemea tusiongee? ungekuwa wewe pia ungelalamika.fa tunaijua vizUri kwahio tutakabiliana nayo hivyo hivyo tu.Yale yale ya kuona mnapigwa vita, mwenzako kasema FA ina lake jambo kisa mechi za raundi ya pili (na vigogo wengine) ziko back to back, na mimi nikamjibu mbona raundi hii hakucomment au kwa sababu ilikuwa mchekea. Wewe unakuja na mambo ya kukosa usingizi ebo!!!
Porto date for Gunners
Fri, 18 Dec 11:49:08 2009
Arsenal will take on Porto in the last 16 of the Champions League.
The Gunners topped Group H, winning four of their six games, while Porto finished runners-up to Chelsea in Group D.
The first legs will be played on February 16/17 and 23/24 with the second legs scheduled for March 9/10 and 16/17.
bbzzzzzzzzz!!!!!..Welcome back Bw Mbu...
jamvi lilikukosaa kweli mkuu...sasa tuanze uchokozi.😀
naona tunazunguka zunguka pale mbele kama kawaida yetu hamna mtu wa kuchukua chance ya kupiga shuti wala nini.