Kipa anatuokoa sana leo...
Usilalamike weye Bala! I told you tht you are loosing this game!
Mimi sio man useless mkuu
Tujifiche wapi wewe. Tupo kama kawaida.....!Mwanangu Naona wamejificha mpk saizi!
Mami,
Kusema kipa anatuokoa sana leo ni kulalamika?..
Fanya ujikite na game ya kesho na Man Utd
Mwanangu Naona wamejificha mpk saizi!
Tujifiche wapi wewe. Tupo kama kawaida.....!
Tuko wengi mkuu ila game naona ilitukamata...jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
![]()
Acha kuweweseka wewe angalia kesho katika jukwaa lako usije ukaaga bila kuondoka kama kawaida yako.