Sabogo
Saa 2:30 usiku
Touch hizi zinazingua sana njombaSanogo mjomba.
Ila dogo bado majeruhi....
Ryo Miyaichi, Zelalem (mhabeshi huyu) na Gnarby ndio game zao za kujichukulia point hizi.
Touch hizi zinazingua sana njomba
naomba mwenye kuuangalia mpira wa leo atuhabarishe sie wengine ndio hivyo
.....St. carzola keshafanya kweli,
Sisi 1 wao Nunge.
Safi sana vijana, muhimu ni kulinda ushindi mpaka dk ya mwisho......St. carzola keshafanya kweli,
Sisi 1 wao Nunge.
.....St. carzola keshafanya kweli,
Sisi 1 wao Nunge.
Wale jamaa hawajaanza kuja humu.