Chifu, nimekuwekea hadi sources za habari, bado unasema ni umbea. Awali nilikuwekea picha ya Giroud aliyopiga nude katika jarida la mashoga, liitwalo Tetu, ukasema ni photoshop. Nikaweka sources ukasema ni umbea.......what kind of a junkie are you? Just google that, you will see everything........
The guy thinks that there are no differences between gay and straight men. That's why he posed nude for the gay magazine!!! Phhhheeeeewwwww
Check out some pictures and a video of Giroud giving a french kiss to Debuchy in a France vs. Germany game!!!
Olivier Giroud embrasse Mathieu Debuchy après son but contre l'Allemagne 20120229 - YouTube
Olivier Giroud and Mathieu Debuchy - Sharing a Moment - YouTube
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaongelea kisi za shavuni kweli wewe mkora ... .... .... jifunze historia za nchi tofauti na salam za kitofauti sio ushoga
Duh! Kazi kweli kweli!!
Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!
Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?
Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!
Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?
Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?
Kadanganye eskimos huko Alaska.......katika tamaduni za kifaransa, mwanaume umsalimu mwanaume mwenziwe kwa kushake hands....mwanamke ndiyo mwenye kusalimu kwa kumpa busu la shavuni anayemsalimu, awe mwanaume ama mwanamke mwenziye.....mwanaume pia anamsalimu mwanamke kwa kumbusu shavuni.....ila kwa mwanaume mwenziye, basi atampa mkono na kushake hands, labda awe ni ndugu yake wa damu.....
Hiyo ya mwanaume kumpa busu la shavuni mwanaume mwenziye ni common kule Mashariki ya Kati, Amerika ya Kusini na Ulaya Mashariki......
Hivi aliyekwambia Giroud ni mfaransa alifu ni nani?
Nahisi hujanielewa....1st and 2nd top team in the table differ for 1 point and NOT 2 POINTS....Moreover RECORD is NOT HISTORYMkuu, this is football!.
What's records?. Have you ever thought kama Man United katika kipindi hiki atakuwa kwenye nafasi ya sita kutoka kileleni huku akiwa na point nane chache na tofauti ya magoli 9 ukilinganisha na timu iliyoko kileleni.
Any win for us ni bonus na tuna haki ya msingi kufurahia na kushangilia.
Join the queue!.
Chifu nadhani hizo picha zisikuchanganye sana...Inawezekana hawa wenzetu ndio utamaduni wao labda....Duh! Kazi kweli kweli!!
Kwa hiyo hapo Giroud alikuwa akimsalimu Debuchy baada ya kufunga goli? Sikujua kwamba wafaransa usalimiana baada ya kufunga goli katika soka!!
Kwa hiyo salamu za wafaransa ni kupigana french kiss?
Kwenye video wewe umeoa ni kisi la kwenye shavu? Unatumia mchina orijino?!
Kwa hiyo ni Giroud tu ndio mwenye kufuata tamaduni za kifaransa katika salamu?
Kupose nude kwenye gazeti la mapusti nako ni tamaduni za kifaransa ama?
Kadanganye eskimos huko Alaska.......katika tamaduni za kifaransa, mwanaume umsalimu mwanaume mwenziwe kwa kushake hands....mwanamke ndiyo mwenye kusalimu kwa kumpa busu la shavuni anayemsalimu, awe mwanaume ama mwanamke mwenziye.....mwanaume pia anamsalimu mwanamke kwa kumbusu shavuni.....ila kwa mwanaume mwenziye, basi atampa mkono na kushake hands, labda awe ni ndugu yake wa damu.....
Hiyo ya mwanaume kumpa busu la shavuni mwanaume mwenziye ni common kule Mashariki ya Kati, Amerika ya Kusini na Ulaya Mashariki......
Ndio wanaanza kupotea. Soon watarud kwenye ile nafasi yao
Hivi unakijua ulichokiandika? Hembu jisome vizuri ulichokiandika...Umeipongeza LP na Toffees....mstari wa mwisho unamuingiza Arsenal(Podo na TW)(Badala ya hizo teams 2 ulizozipongeza)...Sasa LP ina mapungufu ya Forward?Ukweli kwa vikosi vya Team kama Liverpool na Everton wamejitahidi sana kukaa kwenye Tano bora ya Premier League,tofauti na team za Man City,Chelsea,Tottenham,Man Utd na Arsenal ambayo hata kama ina mapungufu ya Foward lakini ina viungo ambao wanaweza kucheza Centre Foward kama Podolski na Walcott
Chifu nadhani hizo picha zisikuchanganye sana...Inawezekana hawa wenzetu ndio utamaduni wao labda....
......hahahahahaaaa! 'Umemkoma nyani giladi!'
Hapa hoja imejibiwa kwa hoja saaafi kabisa....
Haya Nzi, tafuteni jingine
Nzi kakamatwa, hoja yake ishakuwa vapor
Kheri ya mwaka mpya Jaman Nakutakien kila lilo kheri wanasport wote katika mwaka ujao wa 2014.
I bilieve 2014 utakuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Gunners.
...COYG..
Kila gunner wa kweli nawatakia kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio kwa kila mmoja wetu na hasa timu yetu ambayo mwaka huu imepania kufanya kweli.
Mungu akitujaalia kutuvusha salama mwaka huu wa 2013 kwenda 2014 basi kesho tukutane hapa kufurahia pamoja mwaka mpya kwa Arsenal kwakaribisha Cardiff City timu inayoshikilia mkia hadi sasa na ambayo imevurugwa na mmiliki wake bwana Vincent Tan.