Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah....

Chifu mbona hiyo Video haiendani na hiyo picha ya 'photo shop' uliyoiweka?....

Chifu, kwa heshima ya uanamichezo na jukwaa letu pendwa, naomba hii ligi husiiendeleze........

Ila Giroud ni kweli alifotoa kwenye gazeti la gays pale France.........

Mimi nitadeal na Wacha1 makelele.......
 
Last edited by a moderator:
Ni vigumu sana ku-maintain kiwango cha timu hasa December kwenye EPL,kumbuka timu zinacheza game 3 ndani ya siku 7.Wachezaji wanachoka sana angalia Ramsey,Ozil,Giroud walivyochoka

Wacha uongo Rambo kaumia, Ozil kaumia, Giroud kacheza leo pamoja na kupigwa viatu kila KONA ... ..


Next time nitakununulia miwani then Jiandae mwaka mpya nitapita hapo east cost kukuchukua kwenye ungo twende Emirates maana naona una usongo sana ...... ....... ....... ....

Kwa heshima yako....naidelete ile post ya Giroud.....

Ila huyu Wacha1 makelele nitadeal naye......

Chifu, kwa heshima ya uanamichezo na jukwaa letu pendwa, naomba hii ligi husiiendeleze........

Ila Giroud ni kweli alifotoa kwenye gazeti la gays pale France.........

Mimi nitadeal na Wacha1 makelele.......


Leta ushahidi na mimi nitaleta ushahidi usikimbie tu wala usilete photo shop pics .... .... ... Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeee




BTW hebu msikilize Elvis hapa labda utapata akili kidogo naona umechanganyikiwa .... ... ...


 
Last edited by a moderator:

hahahahahah!haya kaka
 
Last edited by a moderator:



Goal! The ball went under Tim Krul and into the back of the net








Back on song: Giroud scored his first goal for eight games




Watching the ball: Olivier Giroud battles his way
through Tiote and Mike Williamson



Not enough: Theo Walcott misses a fantastic opportunity
to double Arsenal's lead





Flashing hair: Newcastle captain Fabricio Coloccini
heads away under pressure of Theo Walcott





Diving: Cheick Tiote lunges into a challenge with Wilshere


 
Leta ushahidi na mimi nitaleta ushahidi usikimbie tu wala usilete photo shop pics .... .... ... Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeee

Angalia hapa.....Giroud alipose nude kwenye French gay magazine called Têtu......

Na haya ni baadhi ya maneno yake:

“I don’t see any difference between a gay person and a straight one. Tetu is a -magazine just like any other.”

New Arsenal signing, Giroud poses for gay magazine and says, "I have no taboos!" - DailyPost Nigeria
New Arsenal signing Olivier Giroud set to tackle taboos after posing for French gay magazine Tetu - Mirror Online
France Today: French international Olivier Giroud poses for gay magazine - so what?
 

Jiulize kwa nini wameumia December,mbona hawakuumia September au October
 
Last edited by a moderator:
Watch OUT carefully with your records,,,,,
 
Watch OUT carefully with your records,,,,,
Mkuu, this is football!.

What's records?. Have you ever thought kama Man United katika kipindi hiki atakuwa kwenye nafasi ya sita kutoka kileleni huku akiwa na point nane chache na tofauti ya magoli 9 ukilinganisha na timu iliyoko kileleni.

Any win for us ni bonus na tuna haki ya msingi kufurahia na kushangilia.

Join the queue!.
 
Siku za mechi unasingizia boksi,mechi ikiisha tu unaonekana

Eeen ndugu yangu ee, mwisho wa mwaka huu, pesa ya pango, school fees, ....tukale polisi?

Haya basi, panapo uzima game ya 1st January nitakuwa hewani mwanzo mwisho.
 
Teheeheeteheee...naanza kupata hofu na huyu shabiki Mbu

.....hahaha, usiwe na wasiwasi kaka...
Together we stand, sie ndio ving'ang'anizi jukwaa hili tangu enzi hizo walipokuwepo wenye makelele na ngebe nyingi kina Peasant, Masanilo, Manda, BelindaJacob, Abdulhalim na Gang Chomba wa Rossoneri, et al...,

....wooote wameingia mitini, kabakia Belo na huyu Nzi sasa lakini soon na wao #Watazoea ....
Headline magazeti yote ya kesho (apart from Michael Schumacher Accident) ni Arsenal wamefunga mwaka #OnTop !!!

Happy New Year kwenu mashabiki wote wa majukwaa haya ya Michezo...



.....Get Well soon #MichaelSchumacher .
 
Last edited by a moderator:


Kumbe unaleta umbeya linganisha na hizi yupi ni shoga?

Timu ya mashoga ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Duuuh! Kumbe kuna uhalisia yaani watu na ndevu zao Wanapumuliwa Kisogoni!!??
Hii hatari saana aiseee.

Chifu, nimekuwekea hadi sources za habari, bado unasema ni umbea. Awali nilikuwekea picha ya Giroud aliyopiga nude katika jarida la mashoga, liitwalo Tetu, ukasema ni photoshop. Nikaweka sources ukasema ni umbea.......what kind of a junkie are you? Just google that, you will see everything........

The guy thinks that there are no differences between gay and straight men. That's why he posed nude for the gay magazine!!! Phhhheeeeewwwww



Check out some pictures and a video of Giroud giving a french kiss to Debuchy in a France vs. Germany game!!!

Olivier Giroud embrasse Mathieu Debuchy après son but contre l'Allemagne 20120229 - YouTube
Olivier Giroud and Mathieu Debuchy - Sharing a Moment - YouTube



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…