sipendi kuweka dosari lakini kwa mchezo wa ref wanaochezesha gemu za Arsenal itachukuwa muda mrefu kwa Arsenal kuchukuwa ubingwa
Usitafute kisingizio cheza mpira ushinde,kwa hiyo hamjachukua ubingwa miaka 8 kwa sababu ya marefa?
wanasubiri tufungwe ndio wataibuka.#Harers #Mamburukenge wanachungulia tu
Acha zako bhana kwani arsenal timu ndogo?Mwambie huyo ndugu yako aache kuropoka,kuongoza ligi ndio anajiita timu kubwa
Hamna creativity, midfielders hawaelewani kabisaProf atabadili mambo kipindi cha pili, NC nguvu yao itaisha .... .... link kati ya midfielder na forward bado kuelewana .... ....
Bora...hapa sasa Artera aingie kusaidiana na FlaminGiroud 1 up ... ..
Prof knows ..... .... ..... .safi sana ... ...COYG
Bora...hapa sasa Artera aingie kusaidiana na Flamin