Haters bhana!! Gunners kupangwa The Bavarian wanasema ndio mwisho wa Arsenal mpira hauchezwi mdomoni Jaman mpira unachezwa katika pitch na hapo ndipo mshindi anapatikana, mshindi hapatikani midomoni.
Mboni tiliwapiga msimu uliopita hapo kwao ati????Haters bhana!! Gunners kupangwa The Bavarian wanasema ndio mwisho wa Arsenal mpira hauchezwi mdomoni Jaman mpira unachezwa katika pitch na hapo ndipo mshindi anapatikana, mshindi hapatikani midomoni.
Bala,
Nyie ndio mabingwa msimu huu,sisi tunataka angalau top four.Vijana wanazidi kukukimbia na Wacha1 nae ameamua kukukimbia mwaka huu,
on paper arsenal anatolewa ingawa kwenye mpira chochote kinaweza kutokea[arsenal pia anaweza kushinda]......
Loading.........Loading........Noted!!!!!:A S 465::ban:arsenal akimtoa BAYERN MUNICH naomba nipigwe BAN 6 MONTHS......
arsenal akimtoa BAYERN MUNICH naomba nipigwe BAN 6 MONTHS......
Umeulizwa na Man U wakifungwa mechi ijayo wanarudi nafasi ya ngapi? Mbona unaanza kujitetea badala ya kujibu swali.
Juzi niliwambia mkawa wabishi!
Hapa tunawambia mnabisha! Sasa subirini mje muone!
Mboni tiliwapiga msimu uliopita hapo kwao ati????
Umeulizwa na Man U wakifungwa mechi ijayo wanarudi nafasi ya ngapi? Mbona unaanza kujitetea badala ya kujibu swali.
Tatizo la mashabiki WA Man hawajadili tena timu yao...wamebaki Arsenal haichukui ubingwa....
Mabingwa wapya mjiiandae kisaikolojia kurudi nafasi yenu next week
Na hii inatokana na ukweli kuwa hawa jamaa Hawajielewi yaan wao na Moyes wao HAWAJIELEWI kabisa ndio maana kila siku wanaweweseka.
kama washabiki wa mpira tuna haki ya kujadili kila timu....wikiendi iliopita stori kubwa ni kipigo chenu cha 6-3 ndio maana tuko hapa....jana stori kubwa ni arsenal vs bayern draw ndio maana tuko hapa....olympiakos vs man utd sio stori wala game haitakuwa na msisimko kama arsenal vs bayern....kwahio msitushangae kukaa hapa,tutarudi kule siku ingine....btw monday naamini chelsea hawawezi kuwasumbua ila ningependa chelsea washinde but i cant see that happen
Hahahahahaha
Sawa Sheikh Yahaya.
Asante Kwa kuelewa!
Sawa Sheikh Yahaya Jr but tambua kuwa hata sheikh Yahaya senior aliwatabiria wenzake vifo lakini kifo chake alishindwa.
Mkuu Mimi Naelewa wazi Chelsea robo fainali nimefika sasa kazi ipo kwako wewe jirani Yangu timu ya watoto!
#TCleverly story kubwa ni kuwa mpo nafasi ya 9 mpaka sasa kuelekea msimu WA sikukuu..
#Story kubwa NI kuwa mshapoteza michezo 5 so far...
#Story kubwa Ni kuwa Mna average Manager ndani ya club yenu...
#BTW ; Kati yenu na Tottenham nani walistahili kufukuza Kocha??