pole sana mkuu ila ndo mpira huo ipo siku utacheka na kulia pia ujue kumo..Mburukenge wamejaa utasema Arsenal haijawahi kufungwa
Hongera Manu, Chelsea na timu nyengine kwani mulisubiri kwa nguvu kuona lini Arsenal wanafungwa
Toeni mapovu kwa sana
Nauliza tu leo Watu wa kubebwa mutatoka?
wenzio wapo honeymoon kujiliwaza kwa kipigo unashinda humu wewe.#Mburukenge wametawala hili Jukwaa tangia jana
karibu....did OZIL play??coz i didnt see him when i was watching highlights.......
zilikuwa studio zinasafishwa..jukwaa halina picha....naomba niwasaidie kuweka picha.....
1-0
1-1
2-1
3-1
3-2
5-3
6-3
Hebu nisaidie Belo...Vipi tena ndoto za ubingwa zimeshakufa? Naona mmerudi kwenye ule ubingwa wenu wa siku zote "TOP 4"
Wacha6 yupo icu
Vipi tena ndoto za ubingwa zimeshakufa? Naona mmerudi kwenye ule ubingwa wenu wa siku zote "TOP 4"
Hebu nisaidie Belo...
Arsenal wako nafasi ya ngapi sasa hivi?...Na timu yako Man Utd iko nafasi ya ngapi?
Kuongoza ligi hata Aston Villa, Swansea huwa wanaongoza but mwisho wa ligi wanarudi nafasi zao.Baada ya game 8 mliashanza kujiita MABINGWA tuliwaambia bingwa hupatikana baada ya mechi 38 leo hata nusu ya msimu haijafika mmeanza kutamba mko top four.For 8 years top four ndio imekuwa ubingwa wenuHebu nisaidie Belo...
Arsenal wako nafasi ya ngapi sasa hivi?...Na timu yako Man Utd iko nafasi ya ngapi?
Hahaaaaaaaaa.................Kuongoza ligi hata Aston Villa, Swansea huwa wanaongoza but mwisho wa ligi wanarudi nafasi zao.Baada ya game 8 mliashanza kujiita MABINGWA tuliwaambia bingwa hupatikana baada ya mechi 38 leo hata nusu ya msimu haijafika mmeanza kutamba mko top four.For 8 years top four ndio imekuwa ubingwa wenu
Naona badala ya kujibu swali nililomuuliza analeta porojo....yupo anaangalia gemu hataki na kupost..
Naona badala ya kujibu swali nililomuuliza analeta porojo....
Balantanda achana nao focus yetu hipo kwenye gemu ya 23.12....tunabahati kucheza na timu bora kipindi hiki!Hahaaaaaaaaa.................
Haujajibu swali mtani wangu Belo....Nimekuuliza Arsenal wako nafasi ya ngapi sasa hivi?...Na timu yako Man Utd iko nafasi ya ngapi?...
Usilete porojo mkuu....
Acha Porojo Belo, hayo nayajua ni matokeo ya mojawapo ya mechi zilizopita/za zamani kati ya Man Utd na Arsenal......Ni sawa na yale ya Man City 6-1 Man Utd.....Haya ni matokeo ya zamani,yalishapitwa na wakati....Arsenal -1
Manchester-8
Naona vijana wote wamekukimbia kama kawaida yao
Mkuu inaonekana hiki kipigo kimekuchanganya kweli ,hebu soma huo msimamo unasemaje hapoAcha Porojo Belo, hayo nayajua ni matokeo ya mojawapo ya mechi zilizopita/za zamani kati ya Man Utd na Arsenal......Ni sawa na yale ya Man City 6-1 Man Utd.....Haya ni matokeo ya zamani,yalishapitwa na wakati....
Haya nijibu basi.......
Hahaaaaaaaaa.................
Nimekuuliza Arsenal wako nafasi ya ngapi sasa hivi?...Na timu yako Man Utd iko nafasi ya ngapi?...
Usilete porojo mkuu....
Mkuu inaonekana hiki kipigo kimekuchanganya kweli ,hebu soma huo msimamo unasemaje hapo
View attachment 126924
#Belo sasa kwa matokeo hayo akina nani wana hali mbaya....??
Mashabiki WA Manure mnachekesha sana yaani mjifariji kwa kumcheka Aliye point 10 juu yenu??
Katika watu ambao huwa hawachanganywi na vipigo ni mimi mkuu wangu Belo......Mimi hata timu ifungwe 20 so long as tumezidiwa mchezo naona shega tu......Wala sina haja ya kuumia ama kukimbia Jukwaa...Mkuu inaonekana hiki kipigo kimekuchanganya kweli ,hebu soma huo msimamo unasemaje hapo
View attachment 126924
BeloooMlijiita mabingwa baada ya mechi 10,tuliwaambia ligi ni mechi 38 next week mkifungwa mnarudi nafasi yenu ya 4