Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Umeongea bila kupepesa macho na hii ni kauli ambayo ni nzuri kwa shabiki na mpenzi anayejua kuangalia na kutathimini mechi,hongera sana
 
6 kwa 3 ni magori meng but all ts part of the game wale jamaa ni hatari saana! Hongera kwa Pelegrini kaongeza kitu kwa The Citzen.
..COYG..
 

Yap Mkuu Once Gunner always Gunner.
COYG.
 
nafasi ilionekana zaidi alipotoka Flamini ndio tulikwisha muda ule,
Nimeona kwenye news eti wanaulizia maamuzi ya ref na lines man wake ni ya kutatanisha
Leo wengi walitaka Arsenal wafungwe kwani timu zote kutoka Manu, Chelsea hata Liverpool walihitaji Arsenal kupunguzwa kasi
Wachezaji walikuwa wamechoka na maamuzi hayakuwa upande wetu,
nasubiri gemu inayokuja
 

Acha kulialia wewe,Arsenane aka Arsesix
 
Tembeeni mkiomba duaaa mjaaaliwe jumatatu ya tarehe 23 angalau goli zipungue zisiwe km Leo!
 
Umefufuka leo ulikuwa unaangalia kwa chati
Najuwa mburukenge leo wamejaa humu
sijalia makosa yalitokea na hata vyombo vya habari wamethibitisha
eti waandishi wakiuliza kwa arseno kuhusu uchovu wa gemu tatu kubwa lakini Coach wala hakusema kama ndio sababu tunangoja gemu nyengine
Acha kulialia wewe,Arsenane aka Arsesix
 
Acha kulialia wewe,Arsenane aka Arsesix
Hahaaaaaaaaaaa......

Man Utd mnafurahisha kweli, ina maana mnafurahia Arsenal kufungwa na Man City?....

Hivi si hawa hawa Man City waliwafunga 6-1 mpaka mkaitwa Man Six?...

Nawaona wazee wa 9th............a.k.a Jezi nambari 9 mgongoni....
 
Usibishane nae huyo.....Bishana na walio Top 4, Namba 9 sio size yetu sisi Nkwingwa....

Sisi wa kubishana nao sasa hivi ni Man City, Chelsea na Everton ......Hao wengine ni #Mburukenge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…