Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili lehu naona linataka kunitafutia ban usiku huu, ngoja nikae mbali nalo...
Mkuu we mpe za Pua tu Mods wamelala sasahivi...:A S-confused1::frusty::A S 2152::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Kipindi cha pili kimeanza na Arsenal tuna dakika 45 za kumalizia kazi.

Wenger tayari ameagiza kwamba kama hatushindi mechi hii basi tusiipoteze.
 
Ngozi ya Ben ishaanza kubadili rangi

Tayari amekwishaambiwa habari za Marseille lakini Marseille nao walisawazisha kupitia Diawara kwahio kule ni 1-1.

Hivyo mpaka sasa,Napoli na Dortmund wote wana 10 points na Arsenal 13 points na tunaongoza kundi F.
 
ndio mpaka sasa tupo sehemu nzuri.....tusubiri dakika tisini japo uhakika upo.
 
Higuain kidogo atufunge lakini alikuwa kwenye upande mbaya akapaisha juu.
 
Tayari amekwishaambiwa habari za Marseille lakini Marseille nao walisawazisha kupitia Diawara kwahio kule ni 1-1.

Hivyo mpaka sasa,Napoli na Dortmund wote wana 10 points na Arsenal 13 points na tunaongoza kundi F.
Dortmund lazima ashinde Leo msijifariji!
Gooooooooooo
Napoli 1 arsenal 0000000000000
 
Back
Top Bottom