Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu hii mechi sitaki kuiona hadi mwisho isije ikaniumiza sana hadi nikakosa usingizi. Nitasubiri matokeo, but Mars 1- Dort 1 tukae tukilielewa hilo!!!!

Inahitaji roho ngumu kuangalia hii mechi maana......
 
Yaonesha Benitez kawafundisha wacheze mpira wa nguvu na wa rafu...bt hazitawasaidia....kwani wanahitaji 3 goals nil...na nusu saa ya mchezo umeshapita...wenzetu kule Dotmund 1-1....masele hataki dharau
 
Huu mtindo wa Szczesny wa kuwagonga washambuliaji na mipira sijui ametoa wapi!
 
Wewe unamsema Huyo mbabu Wenger anaefundisha watoto?
Goooooooooo
Napoli 1 arsenal 0000000000000000
Heta...weka vizuri updates zako...sijui unaangalia TV za wapi? NI mapumziko now
 
Naona mashabiki Wa Arsenal mapovu yanawatoka!
Maji ya shingo Leo! Babu yenu Wenger kimyaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom