Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanaonyesha nguvu zote na Napoli wana wajibu wa kuchagua ama kuheshimu au kuwakabili Arsenal.

COYG!
 
Wakati huohuo Robert Lewandowski ameifungia Borussia Dortmund goli la kwanza na as it stands Napoli wanatolewa.
 
Mkongwe Pandev anapiga shuti hafifu na inakuwa chakula kwa Szczesny.
 
Napoli wanatambua umuhimu wa mechi hii na wao wameanza kutandaza kabumbu.
 
Wakati huohuo Robert Lewandowski ameifungia Borussia Dortmund goli la kwanza na as it stands Napoli wanatolewa.

Acha kujifariji wewe!
Man utd
Man city
Chelsea Ndo zimefuzu Kwa second leg na si nyie!
Leo sisi Tuko na kibonde na mpaka sasa tunaongoza!
Refa kawanyima penati Napoli!
 
Rosicky anamwangusha Higuain nje ya eneo la Penalty na inakuwa ni mpira wa adhabu na unapotezwa na Napoli.
 
Wakuu hii mechi sitaki kuiona hadi mwisho isije ikaniumiza sana hadi nikakosa usingizi. Nitasubiri matokeo, but Mars 1- Dort 1 tukae tukilielewa hilo!!!!
 
Acha kujifariji wewe!
Man utd
Man city
Chelsea Ndo zimefuzu Kwa second leg na si nyie!
Leo sisi Tuko na kibonde na mpaka sasa tunaongoza!
Refa kawanyima penati Napoli!

Acha hizo wewe tunapita leo
 
Naona arsenal wanajitutumua kufanya kashambulizi Kwa shuti la mguu Wa mavi Wa Ozil! Na kanakua kashuti Mbuzi huku Chelsea wanakosa nafasi mbili za wazi!
 
Possession Arsenal 60 na Napoli 40 nashangaa haters wanasema tumepoteana
 
Back
Top Bottom